Zantel : Udini

Zantel : Udini

akili yako inakuambia hapo ndio umewakomoa zantel,halafu mnadai nyie ndio mmesoma ajabu sana hii dunia
hapana mkuu, ni kwamba, nilikuwa natumia zantel dsm, nilipoenda bukoba, kahama, mwanza, nikaona modem yake inasumbua, nikatupa kuanzia line yake hadi modem. hawajatawanyika kama wenzao. hata halotel wamekuja juzi lakini nimeshanunua line yao wako vizuri sana, ila hiyo zanzibar tel, kusema ukweli haina mvuto kwangu, ila wengine kama mnaitumia nawapongeza.
 
✅Kama inaweza ku exist katika ushindani huu wa simu kwa Miaka hii yote basi itakuwa inapata Faida,Kama wangekuwa hawapati Faida wasingeweza kuhimili soko unless wawe wanapewa ruzuku na serikali maana ni serikali ina share.

✅Nimeangalia website ya TCRA,zantel ina customers 2m,ya nne katika market share ikifuatiwa na ttcl yenye customers 200k then BOL smart 100k customer base.Kwa customers 2m hauwezi ukasema ni wachache.

✅Nimejaribu kupitia website Yao nimeona ina services nyingi inatoa ambazo operator wengine hawana kabisa inawezekana Hizo ndizo zinawapatia pesa kuliko Hizo Line ambazo wateja wanaweka jero wiki mpaka wiki...Nimeona wana Cable ya Fiber na pia wana Gateway ya International calls,kwa jinsi nilivyofatilia ukiweza kumiliki hivyo vitu hata usipokuwa na mteja wa jero jero hata mmoja ita run kampuni vizuri...Gateway zipo mbili tu tz ya pili ipo ttcl.

✅Kwa mfano Mimi sijawahi kunywa smaniorf tangia nizaliwe,haimaanishi Hiyo kampuni haipati pesa,Kama nisipokunywa Mimi wengine watakunywa,wapi sasatel,wapi tritel? Kama usipotumia wewe,wengine watatumia.

Baelezeee bamutu baelewee
 
Ulie leta mada huna akili ila una sifa za viumbe hai umeshndwa hata hl dogo ktk kufkr
 
Back
Top Bottom