Zantel : Udini

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
6,592
6,472
Katika kuwatakia wateja wake salamu za sikukuu kampuni hii ya simu mara kadhaa inashindwa kuwatakia wateja wake walio tofauti na dini ya KIISLAM heri ya sikukuu.

Sikukuu watakazoweza kuzitaja na kuwatakia heri ni zile za dini ya kiislam tu tena kwa kuzitaja na majina. Kama vile HAPPY MAULID, EID EL FITR, EID EL HAJJ na kadhalika.

Sikukuu zisizo za kiislam kama vile PASAKA, KRISMAS, MWAKA MPYA N.K hushindwa "kabisa" kuzitaja ktk pongezi na salamu za sikukuu na kuishia kusema "sikukuu"

UDINI NI KITU KIBAYA
TUNAWAONYA.....

https://www.facebook.com/ZantelTanz...90739.220980507942064/694411233932320/?type=3

https://www.facebook.com/ZantelTanz...3308.220980507942064/1103754759664630/?type=3

https://www.facebook.com/ZantelTanz...0980507942064/511384942234951/?type=3&theater
 
pumbaaaaaaaaaa..fffffffffff type one!!!!!!!!!!kwani shirika la umma hilo!!!kilaza weeee!!hama kama vipi!!!!
 
Muislam hata asome au awlimike vipi lakini linapokuja kwenye swala la udini hapo ndo utajua umbumbumbu wakeee...utashangaaa...wonders shall never end..
 
Nadhani mleta uzi ndio mdini mkubwa!! na huu udini huwa unatazamwa upande mmoja tu
 
Muislam hata asome au awlimike vipi lakini linapokuja kwenye swala la udini hapo ndo utajua umbumbumbu wakeee...utashangaaa...wonders shall never end..

Vipi umbumbumbu wetu sisi wa kristo?? Maana Heri ya wao wanae mungu mmoja kuliko sisi tuna miungu mingi mkuu!!! Tuna makanisa mengi sana yanayopiga kelele siku zote bila facts na wasomi wakiwa ktk kelele hizo, vipi ss tunaopendeza na kumiliki midegree mikubwamikubwa duniani alafu tunakwenda kuliomba sanamu LA mamayake yesu??! Vipi ss tunaotukuza pcha ya MTU tukiamini kuwa ni yesu???unafikiri hata kama ni maprofessa si bado ni pumba tupu of fffffftype??!join sabath au islam you will be safe at tha heaven!!!!
 
Zantel Ni part of Etisalat, Etisalat nadhan mnajua Ni shirika la kutoka wapi! Sio lazima kwa wao kuwatakia krismass njema!
 
Muislam hata asome au awlimike vipi lakini linapokuja kwenye swala la udini hapo ndo utajua umbumbumbu wakeee...utashangaaa...wonders shall never end..

------ ni ------ tu na ni rahis kumtambua angalia commnt zake
 
Tunamshukuru Rais wetu mtukufu kukataza kadi za xmas maofisi ya serikali, wewe unadhangaa zantel, lakini ulikuwa hushangai serikalini, hushangai CRDB Bank, ila zantel ungefanya utafiti kwanza halafu ukaleta upuuzi wako! Udini haukubaliki !
 
Iyo hapo Mkuu
 

Attachments

  • Screenshot_2015-12-25-10-23-42.png
    Screenshot_2015-12-25-10-23-42.png
    263.2 KB · Views: 399
zantel nafikiri iliundwa kwaajili ya zanzibar (zanzibar tele....)hivyo usitegemee kitu kingine. kitu cha kufurah ni kwamba, huku bara hawajaenea sana, hawana wateja sana, wala z-pesa yao haina wateja, na ni watu wachache wanaitumia. kwa bara ukileta udini tu, wateja wako watakuwa wa dini yako tu, sisi wengine hatuigusi. nilkuwa na moderm yao, line yako lakini nilishatupa kitambo mno. nimehangaika na voda kidogo ina faida kwenye mpesa, tigo pia, nafurahi kwenye halotel, internet wako vizuri. so zantel hata sijui kama bado ina exist kwasasa, na hainihusu.
 
Kwanini ni lazima umtakie mtu Iddy njema au kirsmas njema? Wabongo hatutaki kufanya kazi mtu unachunguza vitu vilivyokua Havina ulazima kwenye MA'isha yetu ya kila siku.

Ninawashangaa na hawa modes wanaacha ujinga kama huu wanafuta ule wa muhimu. Au kwakua umegusa udini?
 
Mahesabu mdini ni wewe! Kwani ulilazimishwa kutumia mtandao wao. Unachojidai kukimea ndio kinacho kusumbua.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom