Zantel na Zain wapunguza gharama za internet

Nimeanza kununua mb15 kwa shilingi mia tano voda, airtel shilingi elfu mbili unapata mb400. Hiyo ni mwaka 2010 enzi hizo file kubwa mtandao ni mb700 na kulidownload hata wiki inaweza kuisha.
Mb 15 kwa sh;500 maisha hayo kwa sasa hutoboi
 
Soon baada ya 2010 zilianza kuja Unlimited,

Bomba 7 na 30 za Vodacom, Tigo lite, Standard na Max, Zantel unlimited ya siku 3 5000 etc
Airtel 2012 walileta unlimited ya siku kwa 500 na mtandao ulikuwa vizuri, sehemu nilipokuwa nilijaribu kudownload setup ya Adobe 2gb ndani ya lisaa ikawa imeisha na ilikuwa 3g. Walipopandisha kwenda mia 6 na mtandao ukapotea mazima. Tangu kipindi hicho sijawahi kupata speed ya airtel tena ya kuridhisha hadi leo hii.
 
Huku kwetu Iko poa sanaa
 
Ilikua bug mkuu, nakumbuka vile vifurushi vilikuwepo hadi vya 200, kikiisha kifurushi inakua unlimited.
 
Airtel 2012 walileta unlimited ya siku kwa 500 na mtandao ulikuwa vizuri, sehemu nilipokuwa nilijaribu kudownload setup ya Adobe 2gb ndani ya lisaa ikawa imeisha na ilikuwa 3g. Walipopandisha kwenda mia 6 na mtandao ukapotea mazima. Tangu kipindi hicho sijawahi kupata speed ya airtel tena ya kuridhisha hadi leo hii.
Unlimited kwa siku wahuni mlinunua kwa jero, aarghh kudadeki 🫵🏼 miaka kweli inasogea.
 
Back
Top Bottom