Zantel internet inachakachulika?????

Zantel internet inachakachulika?????

SUPERUSER

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
960
Reaction score
308
wadau nimeskia tetesi kuna watu wamefanikiwa kuchkachua then unatumia for free..Does anybody know?..pls PM ME
 
Angalia wasikuchakachue na wewe.
OTIS
 
Asivyo na haya eti anaomba uhalifu hapa jf
 
Lets be serious. Hivi kweli internet ya elfu mbili kwa mwezi bado mbongo anataka kuchakachua halafu atakuja hapa na yeye akidai anataka mabadiliko nchini, eti kuna mafisadi. mtu huyu akipewa shirika la umma itakuwaje? Mods msiwa-ban wenye lugha chafu ila watu cheap na moral-less kama hawa
 
Loh!! yani we huna siri kabisa... nia yako ujue au ndio umewachomea hapa.
 
Lets be serious. Hivi kweli internet ya elfu mbili kwa mwezi bado mbongo anataka kuchakachua halafu atakuja hapa na yeye akidai anataka mabadiliko nchini, eti kuna mafisadi. mtu huyu akipewa shirika la umma itakuwaje? Mods msiwa-ban wenye lugha chafu ila watu cheap na moral-less kama hawa

Mzee Zantel wameanza lini kwa elfu 2, mi najuaa wao ni elfu 9.
 
Yani leo nimeshangaa sana kadri navoendelea kusoma hzi post za watu nimeshangaa sana sikutegemea kweli watu mgetuoa majibu kama haya

kweli!!? mbona mnaleta siasa hapa.. mtu kauliza swali mnaaza kum judge mara kumwambia aache hichi afanye vile.. mara ndo maana hatuendelei

kweli unajua kipi kinachorudisha nyuma we unadhani hivi tunavocrashiana tunasonga mbele hivi tunavokaa bila kuthubutu kwl? Nyie mnasema

kuchakachua ndo tunakijua.. vitu vingapi vinachakachuliwa na bado tunadanganyika kiulani tuu.. unadhi hizi mitandao ya simu wanacheza fair

hawa? Tena wanatuibia haswa kila siku zinasongwa plan ya jinsi yakututeka kutuibia hela nakuturick na sie tunaona kama ni sawa tuu..

natunadanganyika kweli.. sasa kama system zao zakizembe kwanini zisiwe hacked.. tena hii inasaidia coz ndo watajirekebisha na hivi ndo

tunasonga.. tena mtu mpaka anafanikiwa kuhack apo ndo anaogezea ujuzi wa kitu leo ana hack kesho anajenga kitu chenye maendeleo haswa we

unadhani wenzetu wanakaa kwa kusemana tu na siasa dialy sisizo na msingi? apa ni jukwaa la Technology bwana hivi vitu ndo vyanzo vya

kelemishana.. mtu anauliza swali watu mnaanza siasa zenu nakumponda mpaka apo naona comments kibao nyingi ni za siasa na porojo ambazo

hamna msingi.. yani hii kitu kinakera sana na mara nyingi hutokea humu.. ata siku moja usijione unajua na wewe ndo unamwambia mtu kipi ni

wrong au rite au unamwambia achane na hiyo kitu..kwanza mwenyewe unahakika kuwa uko rite?.. Samahani sana kama nimewakwaza watu lakini

ebu tubadilikeni bwana.. na pia mwache siasa humu.. Mkuu mwanzsha thread usikonde mwana kitu kinawezekana na sio tetesi na free kabisa...apa

naanda maelezo fresh then nakutumia pm ya maelezo tosha jinsi inavyowezekana kuhack na pia uzembe ni wapi.
 
Mkuu...we ni mwanateknolojia wa ukweli!Thumbs up!
 
wanasiasa hatukutakini kwenye tech and science forum. you are always with the negative thinking and hopeless replies.
 
Back
Top Bottom