Zantel 4G

Zantel 4G


Halotel ndo mkombozi wetu nimekuja wilaya ya kilombero sehemu fulan inaitwa mbigu ni rahaa tu kama sipo kijijin


Hakika ushabiki tukiuweka pembeni, kuipambanisha....

Halotel 3G,
31118156f2a1e5f8efbb1eac1612b337.jpg


Vs

Vodacom (4G),
18af0ffdffef7bdc1c6c36e9ea3d7e34.jpg


Ni kuidhalilisha teknolojia.
 
uploadfromtaptalk1469850890112.png

Zantel hao tena Nime-test hiyo 4g pale Msasani yaani wameniacha Hoi.
Huko kwetu Manzese Zantel na tigo Hali Moja,
4g ya tigo hadi usiku mnene ndio inapanda kwenye 5maps ambayo inapitwa na 3g ya halotel
 
Sasa 4G kama ya Tigo haieleweki kabisa mnara wenyewe kukamata ni shida sana
 
Kaka hapo zantel inasoma 2bars .
Wakati Voda ukipata via bar viwili au kimoja kitu kinagonga kwenye 27Mbps.
Sasa hiyo 4g ya Znet na tigo utapata wapi iliyojaa bar zote?
yap voda hata 3g ipo hivyo bar 1 inatosha ila tigo nafkiri na hao zantel pamoja na halotel kama signal ni mbovu speed nayo huwa ndogo.

mimi hutafuta chimbo unaweza kuta hapo hapo ulipo kama ni chumba au ofisi utapata tu kona signal inakuwa kubwa na kupata speed nzuri
 
Zantel 4g ni yakitambo sema Wali launch kwanza zanzibar.


Yani Halotel wakiweka tu 4g na hivi vifurushi vyao vikibaki kama vilivyo ndio basi tena... Maana kwa sasa line zote za 4g ninazo Voda, Tigo, Ttcl lakini na endelea kurudi tu halotel bila kupenda
Halotel in 4G tosha
 
Screenshot_20160801-023927.png
Screenshot_20160801-030221.png
yap voda hata 3g ipo hivyo bar 1 inatosha ila tigo nafkiri na hao zantel pamoja na halotel kama signal ni mbovu speed nayo huwa ndogo.

mimi hutafuta chimbo unaweza kuta hapo hapo ulipo kama ni chumba au ofisi utapata tu kona signal inakuwa kubwa na kupata speed nzuri
Hao ndiyo tigo huku kwetu!!
Kupata hiyo speed ya juu mpaka uwavizie usiku mnene.
Mida ya asubuhi hadi jioni ni. Chenga tupu.
 
Back
Top Bottom