Zantel 4G

Zantel 4G

That is where you are wrong, Wikipedia siyo authenticated source to use...kila Chizi anaandika.

Nenda TCRA kama huamini au nenda Smile na Zantel.

Ndo maana nkaongeza neno Wikipedia-With references/citations!
When there are no citations hiyo info waweza sema sio Authentic!

Inshort namaanisha Hapo point usi attack wikipedia attack citations zilizowekwa!

Pili kama unasema niende Zantel au TTCL its very common kuwakuta watu wasoelewa pale nakuishia kuni mislead!
Mifano imetolewa mingi hapa JF mtu anaenda na simu then sijui mtu anatumia facts zipi anasema hiyo simu hai support 4G fulani wakati simu ina support!

Kwa wale walonunua zile modem za TTCL zenye FDD 1800Mhz bila 800Mhz waweke line ya Zantel 4G then watatupa majibu!
 
Let me help for the last time

Smile wana 800MHZ FDD LTE band 20 na 2600MHz FDD LTE band 7
Tigo/Telesis wana 800MHz FDD LTE band 20
Voda wamefanya frequency refarming kwa 1800MHz FDD LTE band 3
Smart wana 2300MHz TDD LTE band 40 Kama sikosei????
TTCL wana 1800 FDD LTE band 3
Zantel wamefanya RAN sharing or call it Roaming through MVNO na Tigo 800MHz FDD LTE band 20

Na wengine wengi watakuja Kwenye 2600 MHz FDD band 7 ... Do not be surprised

TCRA wakifungua 700MHz more will be coming

Karibu sana
 
Awali uliongelea kuhusu information ambazo ni authentic na mimi msisitizo wangu ni kwamba nataka kujua source ya information uloweka ni ipi?

Its worthy noting kwamba kinachoandikwa hapa kinaweza kuwachoma watu i.e assume mtu amemeza FDD 1800 ndo inatumiwaa na zantel then anaenda nunua modem kama Huawei E3372H-607 ambazo zinauzwa na TTCL kwa sasa,then anakuja ku realise wanatumia fdd 800Mhz hii itakua imem cost mtu kuingia gharama ya kununua modem nyingine!

Angalia hizi picha hapa chini basi ni majibu kutoka Smile then naomba comment yako!

jfMXo8.png

Na majibu yake haya hapa!

G1R73A.png

ntapata Modem isiyokua na Band 20 then ntaingiza hiyo line ya zantel pia kuhakikisha watu hawapesi information za uongo!
 
Aliyekujibu ana Shida, Jibu sahihi

Yes it will work only in few parts of Dar and Arusha on 2600 and let her/him mention hizo area like City center, Masaki etc
 
Unajua shida ni kwamba wewe una data zako wewe mwenyewe na hazina source awali umetaja 2600Mhz na haujata inatumika maeneo yapi unasahau what you write here becomes the source of knowledge kwa wengine kama nilivoainisha awali na kukosea kidogo tayari ni kuwa mislead watu!

Ila what I know they cant use Band 2600Mhz in Masaki then wakatumia 800Mhz Upanga yaani same region different parts na watumie different bands?

Nipe mda ntapata modem hizo then ntaverify unachokiandika hapa!
 
Back
Top Bottom