Zantel 4G

Zantel 4G

Mimi natumia 4G ya voda baada ya kuchoka na upuuzi wa 4G ya tigo. Mpaka sasa hivi haijaniangusha. ni mwendo kasi wa express
 
Zantel 4g ni yakitambo sema Wali launch kwanza zanzibar.


Yani Halotel wakiweka tu 4g na hivi vifurushi vyao vikibaki kama vilivyo ndio basi tena... Maana kwa sasa line zote za 4g ninazo Voda, Tigo, Ttcl lakini na endelea kurudi tu halotel bila kupenda

True halotel wanatufulushi mi nimetupa zote
 
Nipo Mwanza hapa hovo kabisa hawa jamaa wa voda.

Hata Dar bado inazingua sana
uploadfromtaptalk1469593324527.png
 
Mikoa yote ambayo tigo wana 4G zantel nayo wanayo....

Zantel itasambaa kwa kasi kuazia august...

Band wanayotumia kwa sasa ni 800 watakuja na 900..

SITAKI MASWALI SUBIRINI MATOKEA
Upuuzi mtupu, 3G tu imewashinda hiyo 4G si ndo itakuwa kituko, hivi unaweza amini kwamba Kibamba hakuna 3G ya Zantel? na hapa ni Dsm vipi kule kwingine kutakuaje...!!!?
 
Upuuzi mtupu, 3G tu imewashinda hiyo 4G si ndo itakuwa kituko, hivi unaweza amini kwamba Kibamba hakuna 3G ya Zantel? na hapa ni Dsm vipi kule kwingine kutakuaje...!!!?
Povu la nini tulia kijana....

Weka akiba ya maneno muda ndio master wa kila kitu.
 
zantel 4g ipo unguja tu tena si sehemu zote kuanzia mwezi ujao wataingia huko
 
Back
Top Bottom