Watanzania hivi karibuni tumeshuhudia makundi mawili makubwa yanayo utaka Urais ie Kundi la Mafisadi kwa upande mmoja na kundi la Wapinga ufisadi. Kundi la mafisadi lilanonekana lilijipanga muda mrefu na lina fedha nyingi ambazo limekua likizitumia ili mgombea wao aweze kuibukaa mshindi wa kuiwakilisha CCM kama mgombea. Kundi la Wapinga ufisadi nalo limejikita katika kutetea uzalendo zaid.
Sasa kwakua kuna kila dalili kwamba Chadema haitaweza kutwaa nchi, na kwakua kuna mkinzano mkubwa kati ya makundi haya mawili mimi nashauri kwamba Rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atoke Zanzibar.
Hii itakua imeyakata kilimilimi makundi haya ambayo yameacha kufanya kazi za kujenga nchi kwa kuwaza Urais tu. Pia hii itafanya Zanzibar nayo itoe walau Rais wa pili wa Muungano maana zaidi ya Mwinyi hakuna mwingine aliyetoka Zanzibar.
Hii itakua safi kama vile Mtaange wa kugombea Uspika kati ya Chenge (akiwakilisha kundi la mafisadi) na Sita aliyewakilisha kundi la kupinga ufisadi.
CCM ilitumia busara na kuyapiga chini makundi yote na kumchagua mwanamama. Naona CCM pia inaweza kumpata com[promise candidate kwa kumtoa mgombea Zanzibar.
Hii imekaaje wadau?
Watanzania hivi karibuni tumeshuhudia makundi mawili makubwa yanayo utaka Urais ie Kundi la Mafisadi kwa upande mmoja na kundi la Wapinga ufisadi.
Kundi la mafisadi lilanonekana lilijipanga muda mrefu na lina fedha nyingi ambazo limekua likizitumia ili mgombea wao aweze kuibukaa mshindi wa kuiwakilisha CCM kama mgombea. Kundi la Wapinga ufisadi nalo limejikita katika kutetea uzalendo zaidi.
Sasa kwakua kuna kila dalili kwamba Chadema haitaweza kutwaa nchi, na kwakuwa kuna mkinzano mkubwa kati ya makundi haya mawili mimi nashauri kwamba Rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atoke Zanzibar.
Hii itakuwa imeyakata kilimilimi makundi haya ambayo yameacha kufanya kazi za kujenga nchi kwa kuwaza Urais tu. Pia hii itafanya Zanzibar nayo itoe walau Rais wa pili wa Muungano maana zaidi ya Mwinyi hakuna mwingine aliyetoka Zanzibar.
Hii itakuwa safi kama vile Mtaange wa kugombea Uspika kati ya Chenge (akiwakilisha kundi la mafisadi) na Sitta aliyewakilisha kundi la kupinga ufisadi.
CCM ilitumia busara na kuyapiga chini makundi yote na kumchagua mwanamama. Naona CCM pia inaweza kumpata compromise candidate kwa kumtoa mgombea Zanzibar.

teh mkuu hii IDEA YA VITI MAALUM nafikiri makamu wa rais tayari ni kiti maalumu kwani hana lolote analolifanya zaidi ya ufunguzi wa sherehe na warsha........galiya, Nguruvi3, takashi, Nonda,
..hii idea ya kupokezana uraisi kati ya Tanganyika na Zanzibar ni UPUUZI.
..huu muungano pia, kutokana na matusi ya wa-ZNZ, nao umekuwa UPUUZI.
..sasa kwasababu mnapenda UPUUUZI, let me give u an idea.
..tuanzishe nafasi ya "kundi/viti maalum" ktk nafasi ya Uraisi kama ilivyo kwa nafasi za Ubunge.
..katika "Uraisi wa kundi/viti maalum" tuweke m-ZNZ.
I am remaining speechless on this, waiting idawa to rescue the situation....!!We mzima kweli?!
Hawaishi malalamiko, yaani wanachotaka ni usawa wa nafasi za kazi. Hutawasikia wakisema wanataka kuchangia uendeshaji wa serikali sawa.Hutasikia wakisema wanataka kulipa umeme kama mwananchi wa mvomero au Malinyi!galiya, Nguruvi3, takashi, Nonda,
..hii idea ya kupokezana uraisi kati ya Tanganyika na Zanzibar ni UPUUZI.
..huu muungano pia, kutokana na matusi ya wa-ZNZ, nao umekuwa UPUUZI.
..sasa kwasababu mnapenda UPUUUZI, let me give u an idea.
..tuanzishe nafasi ya "kundi/viti maalum" ktk nafasi ya Uraisi kama ilivyo kwa nafasi za Ubunge.
..katika "Uraisi wa kundi/viti maalum" tuweke m-ZNZ.
unamaanisha mkristu jina au mkristu dini?Elewa kwamba rais ajaye ni LAZIMA awe MKRISTO. Waislam hawana chao 2015.
Elewa kwamba rais ajaye ni LAZIMA awe MKRISTO. Waislam hawana chao 2015.
galiya, Nguruvi3, takashi, Nonda,

Atoke Zimbabwe