Zambia's M.Mobile to export abroad | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zambia's M.Mobile to export abroad

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MaxShimba, Feb 20, 2010.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Zambia's M.Mobile to export abroad

  By Michael Malakata , Computerworld Zambia

  M.Mobile, Zambia's newly commissioned mobile phone manufacturing plant, has sealed a deal to supply handsets to Zimbabwe, while east African and West African countries including Tanzania, Burundi, Rwanda and Kenya are also expected to start importing the handsets.

  The Zambian plant became operational last month with an initial investment of US$3 million. Company Chairman Mohammed Seedat said the company has struck a deal to supply more than 10,000 handsets to Zimbabwe alone, while other east and southern African countries are also soon to be supplied with the phones. The Zambian plant is now assembling about 1,000 handsets per day.

  The Africa region has two mobile-phone assembling plants providing locally manufactured handsets to lessen the dependence on foreign-made devices that have flooded the region's market. A-Link Technologies of Rwanda has been producing handsets in Rwanda.

  The M-Tech line of handsets made in Zambia have, among other features, FM radios, phone books, color screens, alarms and calendars. Handsets are being sold for between US$40 and $45.

  "So many countries in the region have shown interest in purchasing our handsets," Seedat said.
  http://www.computerworld.co.ke/articles/2009/05/01/zambias-mmobile-export-abroad
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Feb 21, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,737
  Likes Received: 7,507
  Trophy Points: 280
  Yaani kwa kamtaji kwa milioni 3 wameanza kutengeneza handsets!! yaani hadi Rwanda jamani? Hivi zamani si tulikuwaga na ile kampuni ya betri ya national? sijui bado ipo?
   
 3. S

  SHEMAZUMBA Member

  #3
  Feb 21, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio National tu, kulikuwa na "PHILIPS NDIYO YENYEWE, SAUTI SAFI SAUTI KUBWA" kule Arusha. Inasikitisha jamani. Halafu unawaambia watu huko Uturuki eti mambo ni shwari! SHWARI??? Nadhani jamaa hana hata soni ya macho. Eti mwaka huu ni mwaka wa siasa. Mbona tangu amekwaa kiti hadi leo wanaimba kibwagizo cha siasa, hakuna cha maendeleo wala cha nini!!!
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  -Zambia- ulimi hauna mlupa
  -----------------------------

  Kwenye Tanzania yetu ni bora tuhakikishe magavana wetu wanaishi kwenye nyumba za mabillion ili waonekane ni watu wenye status (machoni pa watz maana kama wanadhania wadhungu wanaona hivyo wanajidanganya - wanachoona katika hilo ni 'miafrika ndivyo ilivyo'). Majoho ya spika ni sharti yaagizwe toka nje ili kuonekana ni watu wa kisasa. Rais ana msululu wa ma-bmw kwenye misafara ili aonekane wa kisasa... samani kwenye ofisi za serikali zinaagizwa toka nje ili kuonekana ni matajiri... n.k.


  Tulikuwa na kiwanda cha UFI, Tanzania Film, Battery, Mwatex, Sunguratex, Karakana ya Reli, Nyumbu, na vinginevyo kibao - karibia vyote sasa viko juu ya mawe au kutoweka kabisa. Halafu unaona kiongozi huyoo nje ya nchi kwenda kuombeleza hela za vyandarua!!
   
 5. B

  Bobby JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,798
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Sorry naomba nitoke kdg nje ya mada.M.M.M, mimi naomba nikupongeze kwa postings zako zote ambazo zote huwa zimelenga kwenya mapenzi ya nchi (Tanzania) kwanza kuliko kitu kingine. Huwa nafuatilia comments za watu mbalimbali kwenye blogs, im sure wengi huwa hawaelewi unachokizungumza. Uzuri ni kwamba hukati tamaa nadhani watakata wao tamaa kwenye kukukatisha tamaa. Songa mbele tuko pamoja.

  Kuhusu viwanda cc hatuna tunachoweza mzee. Anyway sijuwi ni nani wa kutukomboa. Mama wa viwanda yuko na muuza sura turkey hakuna chochote anachofanya maskini ni business as usual. Anyway hiyo ndio reality.
   
 6. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,014
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Viongozi wetu wana vipaumbele tofauti na matakwa ya wananchi. Suala la kuanzisha viwanda kwa ajili ya soko la ndani na hatimaye pia masoko ya nje ni muhimu katika kuinua uchumi. Nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu kuwa kwa nini tusianzishe kiwanda cha simu za mikononi wakati kuna soko kubwa sana nchini na nchi za jirani!
   
 7. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yani inayouma ni kwamba imewacost jamaa 3million USD kuset up kiwanda..sasa jiulize watanzania wangapi wana 3$ Million or more na wanafanya nini zaidi ya kuomba tender serikalini??... :-(
   
 8. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,141
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Inawezekana kwamba haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya, na ni matokeo ya kuwa na viongozi wafanyabiashara hivyo kama watafanya mambo kwa faida ya nchi maana yake kutakuwa na muingiliano wa kimaslahi( confilict of interest ) fikiria kwamba kuna wakubwa wengi tu wana fanya biashara kama hizo kuagiza simu, computer na vingine kama hivyo, huoni kwamba kama watafanya hivyo kwa faida ya nchi maana yake watakula uzalendo wao?

  Kwa kuwa hawako tayari kufanya hivyo kwa sababu kila siku viongozi wetu wanatafuta mtaji wa siasa kupitia biashara na rushwa kubwa kubwa hilo la kuleta viwanda vya umma kamwe halitotokea kwani kwao itakuwa sawa na kuvaa miwani ya mbao, nina hakika hawatakuwa tayari kwa hilo.
   
 9. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 5,109
  Likes Received: 1,546
  Trophy Points: 280
  wanajenga nyumba ya gavana.
   
 10. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 30,312
  Likes Received: 29,036
  Trophy Points: 280
  zile pesa za EPA sijui zingefungua viwanda kama hivi vingapi?vingetoa ajira ngapi? vingeingizia taifa pato kiasi gani?mnaojua mahesabu nisaidieni,tz tz tz unaweza kulia kwa yanayotendeka!
   
 11. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,014
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Naona kitendo hicho cha Wazambia kiwe changamoto kwa viongozi wetu wanaoinukia, au watakaokuja katika awamu ijayo (kama kutakuwa na mabadiliko). Bado tunaweza kujenga viwanda kama hivyo. Kama Wazambia wamejenga chao, hata sisi hatujakatazwa wala kuchelewa kujenga chetu/vyetu.
   
 12. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 0
  Rwanda-macho hayana pazia, Rwanda ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza EA kutengeneza simu! watu wengi wanaishusha sana rwanda, lakini ukiangalia sera zake utaona kkuwa wako mbele yetu kwa hatua nyingi tu, na jinsi walivyotia juhudi mtashangaa wanadominate!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...