Tanzania Rejects Zambia Election Interference Claims

Tanzania Rejects Zambia Election Interference Claims

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
509
Reaction score
489
The Government of Tanzania is concerned with the false allegations made by the NRPUP Presidential Candidate in Zambia, Mr. Brian Mundubile, claiming that Tanzania sent individuals to Zambia with the intention of interfering with and disrupting the country's general elections held on 13th August 2026.

The Government takes these allegations seriously and through the Tanzanian High Commission in Zambia, has written to the Government of Zambia seeking detailed clarification on the basis upon which the candidate made these un-founded allegations.

The Government of Tanzania wishes to reassure Tanzanians and the interna-tional community that it has not sent anyone to interfere with or disrupt Zam-bia's elections and has no such practice.

As is the case with other member states of the Southern African Development Community (SADC), Tanzania has a representation of election observers in Zambia who are carrying out their duties in accordance with SADC election ob-servation guidelines, alongside other observers present in Zambia. Their role is to observe the electoral process and not to interfere in the elections, as al-leged by Mr. Brian Mundubile.




==================================

Serikali ya Tanzania imezisikia tuhuma zisizo za kweli kutoka kwa mgombea Urais wa chama cha NRPUP nchini Zambia, Bw. Brian Mundubi-le, kwamba Tanzania imetuma watu kwenda nchini Zambia kwa lengo la kuingiliana kuvuruga uchaguzi wa nchi hiyo uliofanyika tarehe 13 Agosti, 2026.

Serikali imezichukulia kwa uzito tuhuma hizo na kupitia Ubalozi wa Tanza-nia nchini Zambia imeiandikia Serikali ya Zambia kutaka maelezo ya kina juu ya kwa nini mgombea huyu amezusha tuhuma hizo zisizo na ukweli.

Serikali ya Tanzania inawahakikishia Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa kuwa haijatuma mtu yeyote kuingilia au kuvuruga uchaguzi wa Zambia na haina utamaduni huo.

Kama ilivyo kwa nchi zingine za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Tanzania inao uwakilishi wa waangalizi wa uchaguzi huo ambao wanafanya kazi kulingana na miongozo ya waangalizi wa uchaguzi wa SADC sambamba na waangalizi wengine waliopo Zambia na sio kuingilia uchaguzi kama ilivyotuhumiwa na Bw. Brian Mundubile.
IMG-20260816-WA0019.jpg
IMG-20260816-WA0022.jpg
 
Kama mnaweza kuandaa mashahidi feki zaidi ya 30 kwenye kesi ya LISSU bado haitoshi mkaandaa mawakili feki wa serikali na majaji wa mchongo mnashindwa vipi kuingilia uchaguzi?
CCM IPO kwenye wingu la aibu duniani
 
Kama mnauwa raia wenu kama kuku na kuwambambikia kesi ya ugaidi au uhaini sembuse ugenini. Mmelaaniwa stupid idiots.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Watawala wa Tanzania na CCM kwa ujumla, wana mkataba wa kudumu na shetani, ndiyo maana matendo yao yamejaa uovu mtupu! Tangu lini jambazi akatuhumiwa kwa ujambazi, halafu akakiri?
 
Back
Top Bottom