Zambian President, Michael Sata dies in London

Zambian President, Michael Sata dies in London

Apate pumziko la milele.......
Nadhani na umri wa hawa marais uwe unaangaliwa huyu umri ulikuwa mkubwa sana kama baadhi ya wagombea wetu wanaotangaza nia.
 
Inabidi Lowasa aende Zambia akashiriki mazishi na ajifunze kutokana na kifo hicho
 
Safari nyingine ya rais Kilwete hiyooooo imewadia.Vietnam anarudi lini?

Ha ha ha sijui anarudi lini Mkuu ila kwneye Guardian la leo kuna habari inayosema JK anatarajiwa kufungua mkutano wa shirikisho la vyama utoaji na uingizaji mizigo East Africa (FEAFFA) kesho.. Sasa sijui atawahi kurudi au atamtuma Makamu wake aliebobea kukata tepe kumuwakilisha..!
 
Umeona eeeeh Mkuu. Hapa mamvi inabidi asome alama za nyakati

Watu kama nyie huwa mnaishi maisha marefu kwa sababu ya roho mbaya zenu na kuombea wengine vifo lakini mnakuwa na maisha ya masumbuko na taabu kila wakati. The best u can get ni kuwa watumwa wa majangili kwa kukeseshwa mitandaoni wakati wenzenu wanafanya karamu usiku na mchana
 
Naskia kuna utata wa kukaimu kiti coz vice wake ni Mzungu
 
Hapa kunajambo la kukifunza lakini,satta alikuwa anaumwa na umri wake ulikuwa umekwenda sana wakati vyombo vya habari za zambia vinaripoti kuwa huyu mzee anaumwa serikali walibisha wakisisitiza kuwa ni mzima lakini kiukweli huyu mzee alikuwa anaumwa,wazambia walichagua mtu amabye ni mgonjwa hilo liko wazi.
 
jamani so sad wazambia wanazika tu maraisi
 
profesa wa kichina please huu msiba si wa kukosa!
Sio tu hakosi msibani, bali na hapa pia atafunga nchi wiki nzima kuomboleza na kumkumbuka mtu ambae wakati akiwa hai alienda kutibiwa sehemu ambayo wale wanaolipia gharama hizo hawawezi kupata huduma hiyo na hakuwa na ubinadamu wa kusema jamani eeh wananchi Rais wenu naumwa niko London natafuta tiba.

Watu kama hawa ni huku 3rd world tu ndio tunawa lionize na ndio maana wana jeuri ya kufanya lolote, na ndio maana hatuendelei. Nchi za watu walio serious na maswala ya kazi za nchi, Rais huja punch in for two freaking days in a row somebody gotta tell us what the hell is going on! Kiongozi wa Uingereza hawezi kuwa eti hajulikani yuko wapi for two days, no less miezi na miezi eti Rais limejicha sehemu mpaka life ndo tujue lilikuwa linatibiwa nje kwa fedha zetu!
 
Back
Top Bottom