ivi kwanin Mungu hatupendi sisi wabongo?Hii ilitakiwa kuwa huku
Kusalimika ni moja ya kumi.Ugonjwa wa uzee ndio ugonjwa gani huo kitaalam? Kama uzee ni
ugonjwa mbona Mugabe yuko madarakani mpaka sasa hajafa tena ni mzee kuliko satta au kingunge wasira jaji lubuva ambao nao ni wazee. Hebu tufafanulie vizuri uzee na kifo.
Ugonjwa wa uzee ndio ugonjwa gani huo kitaalam? Kama uzee ni
ugonjwa mbona Mugabe yuko madarakani mpaka sasa hajafa tena ni mzee kuliko satta au kingunge wasira jaji lubuva ambao nao ni wazee. Hebu tufafanulie vizuri uzee na kifo.
Mkuu hapo umesema kweli lakini kwa 2015 tuiache kwanza,
kuna uwezekano nasi tukampata rais wa hivyo.
Gharama ya uchaguzi ni kubwa kuliko kumuhudumia rais mstaafuUnajua ni gharama kiasi gani ya kuwatunza marais walio maliza muda wao hapa nchini? Ben Mkapa, Mwinyi, anakuja sasa Prof Jakaya! Fikiri na acha unafiki wa kijinga! ongea vitu vyenye maana na kama hauna cha kuongea basi kaa kimya!
Wana Bodi wa Jf tuache Keypard za cm/computer zetu dk1 Tumuombee . Rais wazambia michael sata. Ambae ametutoka mapema london alikofia kwa maradhi na uzee.
Moderator tafadhali usiunganishe huu uzi kama upo mwingne huku ndani.
Kifo cha sata ni funzo kwetu watanzania hasa hasa kuelekea 2015.
Rais sata amefariki kwa kile kinachoelezwa ni ugonjwa na uzee.
Hapa kwetu Tz wako wanasiasa wagonjwa na wazee wanang'an'gania kwenda ikulu.
Ilihali afya zao sio njema. Leo hii wananchi wa zambia wataingia Gharama kubwa kuitisha uchaguzi na taifa kama taifa lazima litaingia Gharama ya Maziko ya kiongozi huyo.
Hapa tunaona ni jinsi gani kupeleka viongozi wagönjwa Ikulu inavyoli-cost Taifa.
Watanzania tuwe makini tusije tukaingia hasara kama hiyo.
Rest In Peace Michael sata!
Tusichague Rais mzee au mgonjwa
Kikwete anamaliza muhula wa 2 pamoja na ugonjwa wake wa kuanguka!.
.Wana Bodi wa JF, tuache Keypard za cm/computer zetu dk1 Tumuombee . Rais wa Zambia Michael Sata. Ambae ametutoka mapema London alikofia kwa maradhi na uzee.
Kifo cha Sata ni funzo kwetu watanzania hasa hasa kuelekea 2015.
Rais Sata amefariki kwa kile kinachoelezwa ni ugonjwa na uzee.Hapa kwetu Tz wako wanasiasa wagonjwa na wazee wanang'ang'ania kwenda ikulu Ilihali afya zao sio njema.
Leo hii wananchi wa Zambia wataingia gharama kubwa kuitisha uchaguzi na taifa kama taifa lazima litaingia Gharama ya Maziko ya kiongozi huyo.
Hapa tunaona ni jinsi gani kupeleka viongozi wagönjwa Ikulu inavyoligharimu Taifa.
Watanzania tuwe makini tusije tukaingia hasara kama hiyo.
Rest In Peace Michael Sata!
Wana Bodi wa JF, tuache Keypard za cm/computer zetu dk1 Tumuombee . Rais wa Zambia Michael Sata. Ambae ametutoka mapema London alikofia kwa maradhi na uzee.
Kifo cha Sata ni funzo kwetu watanzania hasa hasa kuelekea 2015.
Rais Sata amefariki kwa kile kinachoelezwa ni ugonjwa na uzee.Hapa kwetu Tz wako wanasiasa wagonjwa na wazee wanang'ang'ania kwenda ikulu Ilihali afya zao sio njema.
Leo hii wananchi wa Zambia wataingia gharama kubwa kuitisha uchaguzi na taifa kama taifa lazima litaingia Gharama ya Maziko ya kiongozi huyo.
Hapa tunaona ni jinsi gani kupeleka viongozi wagönjwa Ikulu inavyoligharimu Taifa.
Watanzania tuwe makini tusije tukaingia hasara kama hiyo.
Rest In Peace Michael Sata!
Mzungu kuongoza Zambia . Ingekua Mwarabu wapenda michubuko ya kiarabu bongo basi povu lingwatoka.
Au hata huyu mzungu basi mibaguzi hii ya kuvaa wigi ungeona wanavo toa upepo
Guy Scort Zambia VP