ivi kwanin Mungu hatupendi sisi wabongo?Hii ilitakiwa kuwa huku
Hata wilbroad,mwandosy hawa watu umri umeenda wapumzike tu,watatuletea ...Hahaha...
Kama ni rahisi hivyo hebu fanya kutupa utabiri wa Bwana Mamvi maana nasikia naye afya yake si imara sana...
Sisi hatunaga roho mbaya.Mzungu kuongoza Zambia . Ingekua Mwarabu wapenda michubuko ya kiarabu bongo basi povu lingwatoka.
Au hata huyu mzungu basi mibaguzi hii ya kuvaa wigi ungeona wanavo toa upepo
Guy Scort Zambia VP
R.I.P,tutakukumbuka daima,ulionyesha dhamira ya kweli kuwa upinzani ukiamua unaweza,hakika wazambia watakukumbuka kwa mengi sana, moja kuu ninalo kumbuka na kujifunza kutoka kwako ni kauli yako uliyosema kuwa huhitaji wachina wanao uza nguo za ndani bali unataka wachina wenye taruma.Rais wa Zambia amefariki dunia uko London alipoenda kwenye matibabu .
Source Al jazeera and New Vision Uganda.