profesa wa kichina please huu msiba si wa kukosa!
Vyanzo mbalimbali nchini Zambia vimeripoti kuwa Rais Satta amefariki Dunia akiwa London nchini wingereza alikokuwa akitibiwa.
Tunaomba wenye taarifa za uhakika watuwekee hapa ili kujiridhisha zaidi.
===============================
Source: Zambiareports
Baba yako atakufa na kumwacha unayemdhani.
profesa wa kichina please huu msiba si wa kukosa!
Kuwe na kikomo cha umri ww juu kuwa rais.
Sii kutimia tu bali na umri wa juu.
Wwzee nao kuingia ikulu basi chance za kuchagua rais kabla ya muda ni kubwa.
Na sasa Zambia kuongozwa Mzungu Guy Scort ambaye ndie VP.
Kwa katiba ya Zambia hawezi kua raisi, nadhani waziri wa ulinzi ndo ataingia ikulu.
Hapa Tanzania kuna watu wana mapenzi ya dhati kwa Lowasa ambaye ni mgonjwa na Dr Slaa ambaye ni mzee. Kifo hiki kiwe dedication kwa watu haoKuwe na kikomo cha umri ww juu kuwa rais.
Sii kutimia tu bali na umri wa juu.
Wwzee nao kuingia ikulu basi chance za kuchagua rais kabla ya muda ni kubwa.
Na sasa Zambia kuongozwa Mzungu Guy Scort ambaye ndie VP.
labda kitu gani kitambana VP asishikilie usukani now?
R.I.P,tutakukumbuka daima,ulionyesha dhamira ya kweli kuwa upinzani ukiamua unaweza,hakika wazambia watakukumbuka kwa mengi sana, moja kuu ninalo kumbuka na kujifunza kutoka kwako ni kauli yako uliyosema kuwa huhitaji wachina wanao uza nguo za ndani bali unataka wachina wenye taruma.
labda kitu gani kitambana VP asishikilie usukani now?
Hivi hii ilitabiriwa na Temitope Joshua...??