Wazambia walichagua mtu ambaye alikuwa anaumwa kama anavyoumwa mzee wetu pia umri wake ulikuwa mkubwa sana isingekuwa busara kufanya kazi ngumu kama ya urais,ni sawa na kumchagua mtu kama slaa ambaye kwa sasa anazidi ya miaka sabini unategemea nini.Aliyoandika ni ya maana sana. Unapaswa kutafskari na mazingira ya siasa za hapa kwetu
Hivi hii ilitabiriwa na Temitope Joshua...??
Kuwe na kikomo cha umri ww juu kuwa rais.
Sii kutimia tu bali na umri wa juu.
Wwzee nao kuingia ikulu basi chance za kuchagua rais kabla ya muda ni kubwa.
Na sasa Zambia kuongozwa Mzungu Guy Scort ambaye ndie VP.
Upo sahihi kwa unachosema kweli huu ni msiba mkubwa sana kwa ndugu zetu lakini satta walimchagua akiwa anaumwa sana hata waandishi wa zambia waliandika sana kuwa kwa jinsi anavyoumwa isingefaa kushika madaraka makubwa kama yale ambayo yanapresha kubwa tokwa kwa wapinzani na jamii kwa ujumla lakini walipuuzwa hali hii inaweza kujitokeza kwa lowasa ambaye ni mgonjwa lakini baadhi ya watu hawataki kuuona ugonjwa wake.Watu8, kwa hili umepotoka mkuu, busara zako nazikubali sana humu.
Hili ni pigo kubwa sana kwa ndugu zetu Wazambia ambao wamemchagua Comrade Satta miaka michache tu iliyopita. Inakumbusha machungu ya kumpoteza Rais wao mwingine-Mwanawasa
Poleni ndugu zetu Wazambia.
Vv
Mkuu miaka 77 kwenye urais ni mkubwa sana lazima ifike mahala umri wa urais uangaliwe hata kuchagua mtu amabaye ni mgonjwa tayari nalo ni tatizo.Poleni wa Z, umri sio sababu ni magonjwa tu. 77yrs alikuwa bado ana nguvu walau more 5 yrs, hata tunaowapigia debe 30/40 yrs wanaovaa kata k wamekwisha kabisa na israeli anawatembelea kwa kasi vilevile.
chiluba/banda/huyu tena aama wanaombeana vifo jamani??watfanya watu waogope
kama naona familia ya makamu wa rais inavyofurahia kuelekea ikulu
so sad news
RIP PRESIDENT
Wazambia walichagua mtu ambaye alikuwa anaumwa kama anavyoumwa mzee wetu pia umri wake ulikuwa mkubwa sana isingekuwa busara kufanya kazi ngumu kama ya urais,ni sawa na kumchagua mtu kama slaa ambaye kwa sasa anazidi ya miaka sabini unategemea nini.
My Condolences to them too, may this be a reminding remark for all Leaders in Our lovely Country Tanzania that whatever they thing, plan and do will come to an end, so they should remember to execute their dids accordingly while remembering that one day their Wealth, Power, Goals and Ambitions will perish. Please please let us share what our Beautiful Country has.
Pia napenda niseme tusichague viongozi wanaojulikana wazi kuwa ni wagonjwa maana watakuwa muda mwingi wanafikiria maradhi yanayowasumbua.