Zambia Elections: Opposition (SATA) wins Presidential race!!!

Rais ana 74 years.... and we expect some changes, LOL

kikwete ana 54 na hakufanya change yoyote hata ile ya kuongea na wazee wa chimwaga na wazee wa dar es salaam kachemsha.mi namkubali king cobra.mia
 
gia yake sawasawa na huyu mpangaji wetu wa magogoni alifanya nini pale DIA waangalie tu hiyo chenji ikaja kula kwao..
 
mKUU kumwingiza JK kwenye mlinganyo ni sawa na kumfanya George Bush mtakatifu... huyo hayupo kokote zaidi ya safari na uswahiba
 
gia yake sawasawa na huyu mpangaji wetu wa magogoni alifanya nini pale DIA waangalie tu hiyo chenji ikaja kula kwao..
thanks bwashee

naona watu hawaelewi hapo............ sisi sijui tuna matatizo gani
 
Mkuu ningependa kujifunza toka kwakom uhusiano wa umri na kufanya maamuzi.

Scientific proof kama ipo nitakushukuru.
at that age humans are bound to be conservative, maintain status quo and story tellers, rarely the could have 20-50 years vision nor interest in a future let alone open mind and adventurous in nature... name me one leader (hata kwenye household) aliyeweza kufanya maamuzi magumu yenye mabadiliko you know (hata babko)

kuna kufanya maamuzi na kuongoza nchi mkuu... hebu rejea elimu ya viumbe darasa la sita na growth curve, kacheki pia life insurance kwanini inawafanya akina sata kuwa liabilities

ukimaliza jiulise majority ya wananchi (average age ni ipi) na kisha useme maana ya generation gap

ukimaliza hayo ntajibu maswali yako
 
gia yake sawasawa na huyu mpangaji wetu wa magogoni alifanya nini pale DIA waangalie tu hiyo chenji ikaja kula kwao..

mkuu usijaribu kumlinganisha Sata na mzee wenu wa kujirusha Mkweree
Sata ana kitu kinaitwa exposure ambayo ni muhimu sana katika uongozi,wakati mkweree yuko anakariri udsm kama kawaida yao,sata alikuwa london akifagia barabara
sata ana uzoefu mzuri,bealive me wazambia hawajakosea kwa sababu wanajua background yake
 
kikwete ana exposure ya kusafiri sana akiwa rais,teheehetehehtehehe
 
Mkizungumzia ujana na experience msimsahau ndugu yetu Kabila kule Zaire. Hivi kafanya nini kilicho fundamental na visionary mpaka sasa?
I will take a Mandela, a Satta and a Slaa anytime!
 
mkuu usijaribu kumlinganisha Sata na mzee wenu wa kujirusha Mkweree
Sata ana kitu kinaitwa exposure ambayo ni muhimu sana katika uongozi,wakati mkweree yuko anakariri udsm kama kawaida yao,sata alikuwa london akifagia barabara
sata ana uzoefu mzuri,bealive me wazambia hawajakosea kwa sababu wanajua background yake
i am shocked jasusi ameona hii ni point... kama kuna mtu ana exposure basi ni JK sema ana issues za strategies na uelewa... sata ameshachakachuliwa na chiluba, banda, mwanawasa aliyekufa...

kama kuchakachuliwa ni exposure then its ok which is equal to mwanamke aliyeolewa na mabwana wazinzi na akajivunia exposure ya malaya... duh

................. wazambia wamechagua chochote but chama tawala, ni kama zile kura za hasira wanazopiga wengine

sorry but it is a reality
 
Mkizungumzia ujana na experience msimsahau ndugu yetu Kabila kule Zaire. Hivi kafanya nini kilicho fundamental na visionary mpaka sasa?
I will take a Mandela, a Satta and a Slaa anytime!

kabila nchi ilishamshinda siku nyingi,bora angemwachia yule babu ettiene shisekeddi!
 
Mkuu, kabila hakua chaguo la wacongo.............. alikua chaguo la waliomweka, tena ukizingatia ni mnyarwanda...

umepoteaje kwenye hili??? tofautisha utawala wa kiimla uliomweka laurent kabila na ule wa sata

aisee
 
kabila nchi ilishamshinda siku nyingi,bora angemwachia yule babu ettiene shisekeddi!
pia tukumbuke kabila aliwekwa pale, tena kama kisasi cha baba yake mzazi kuuwawa na kulipa kisasi kwa mlezi

leo nimeshindwa kumwelewa jasusi kabisa................ na i am sure hawezi kuwa amekunywa mvinyo
 
MTM msome Jasusi vizuri,anajaribu kuonyesha umri sio kigezo,unaweza kumpa mzee demu na akaweza kumchakachua na kumwacha hoi lakini kijana akashindwa
 
sipo kwenye mademu mkuu

nipo kwenye viongozi ambao sera zao wenyewe zinawanyima haki ya kuwa insured bila kwere!!! Sata ni kama seif sharrif hamad mkuu

think about it
 
Yeah... like contesting since Kaunda was a live wire...

waafrika tuna shida sana, hutu tubabu tutatufikisha wapi jamani ?? nakumbuka tulisema JK kijana, ni kwa sababu ya upuuzi huu huu wa umri wa miaka ya kwenye bible

This is what I know about youth;

Youth is not a time of life; it is a state of mind;it is not a matter of rosy cheeks and, red lips and knees; it is a matter of will, a quality of imagination, a vigor of the emotions; it is the freshness of the deep springs of life.
Youth means a temperamental predominance of courage over timidity, of the appetite of adventure over the love of ease(this often exists in a man of 60 more than a boy of 20). Nobody grow old merely by a number of years, we grow old by deserting our ideals.
Years may wrinkle the skin, but to give up enthusiasm wrinkles the soul. Worry, fear,self-distrust bows the and turns the spirit back to dust.
Weather 60 or 16, there is in every human being's heart the lure of wonder, the unfailing childlike appetite for what's next and the joy of the game of living.In this center of your heart and my heart there is a wireless station: so long as it receives the messages of beauty,hope, cheer,courage and power from men and from God, so long are you young.
When the aerials are down, and your spirit is covered with snows of cynicism and the ice of pessimism, then you are grown old, even at 20; but as long as your aerials are up, to catch the waves of optimism, there is hope you may die young at 80.
 
it is always good to credit your source mkuu

ta
 
pia tukumbuke kabila aliwekwa pale, tena kama kisasi cha baba yake mzazi kuuwawa na kulipa kisasi kwa mlezi

leo nimeshindwa kumwelewa jasusi kabisa................ na i am sure hawezi kuwa amekunywa mvinyo
MTM,
Nilitaka kufanya comparison kati ya uzee na ujana, ikiwa ujana kweli ni kigezo. Tumeona madudu yaliyofanywa na akina Masha, Ngeleja, na hawa ni vijana ndani ya serikali yetu. Kuna mtu kazungumzia exposure ya Kikwete. Exposure siyo kitu kama wewe mwenyewe hutumii akili zako
kubuni vision itakayokusaidia kutokana na exposure hiyo. Kikwete kasafiri duniani kote lakini mpaka leo anaamini kuwa misaada ya Marekani ndiyo itakayotusaidia kujikwamua katika maendeleo akisahau kuwa hao Wamarekani wenyewe walitumia mali asili zao na kujipanga mpaka kufikia hapo walipo na hakuna nchi yeyote duniani iliyoendelea kwa kutegemea misaada peke yake. Kiongozi pekee kijana ambaye labda alileta mabadiliko kwao alikuwa Rawlings wa Ghana, na Sankara Burkina Faso lakini hawa walisukumwa zaidi na uzalendo badala ya ujana wao. Tusitumie umri kama kigezo cha uwezo wa kuongoza au uwezo wa kuleta mabadiliko katika jamii. Ni hicho tu nilichokuwa najaribu kusema, bado ni mapema hapa kwetu kwa mvinyo.
 
This is what I know about youth;

Youth is not a time of life; it is a state of mind;it is not a matter of rosy cheeks and, red lips and knees; it is a matter of will, a quality of imagination, a vigor of the emotions; it is the freshness of the deep springs of life.
Youth means a temperamental predominance of courage over timidity, of the appetite of adventure over the love of ease(this often exists in a man of 60 more than a boy of 20). Nobody grow old merely by a number of years, we grow old by deserting our ideals.
Years may wrinkle the skin, but to give up enthusiasm wrinkles the soul. Worry, fear,self-distrust bows the and turns the spirit back to dust.
Weather 60 or 16, there is in every human being's heart the lure of wonder, the unfailing childlike appetite for what's next and the joy of the game of living.In this center of your heart and my heart there is a wireless station: so long as it receives the messages of beauty,hope, cheer,courage and power from men and from God, so long are you young.
When the aerials are down, and your spirit is covered with snows of cynicism and the ice of pessimism, then you are grown old, even at 20; but as long as your aerials are up, to catch the waves of optimism, there is hope you may die young at 80.

gotcha!
young or old......who gives a hoot, hah??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom