Mitazamo kama hii ndo inayotufanya tuwe nyuma sana. Tunatakiwa tuiondoe CCM bila kujali CHADEMA itakuwaje maana hatuwezi kuipima Chadema kabla haijaingia madarakani, ikiingia madarakani kama ambavyo TANU na ASP ziliingia wananchi hawakusema bora tubaki na Governor wa kiingereza mpaka tutakapoona TANU inafaa wala hawakuona bora Sultan aendelee mpaka ASP itakapokuwa imeonyesha uwezo wake. Tukichukua Zambia kama mwalimu wetu wazambia hawakusubiri waione kwanza MMD uzuri wake, waliitoa UNIP na sasa wameitoa MMD ndo siasa zinavyoenda. Sasa hii kusema bora CCM iendelee mpaka tuone kama Chadema itakuwa nzuri ni mawazo yatokanayo na baadhi ya watu kuiona CCM kama itikadi ya kiimani. WTZ tuitoe CCM tuweze kuanza kupiga hatua za maendeleo ya kiuchumi, kidemokrasia, kisiasa na kijamii.Kuna makosa yalifanywa na wazambia,nafikiri kwao Kaunda alikuwa better kuliko MMD,tatizo lililotokea ni kwamba MMD walibadilika ghafla na kuwa wabaya kuliko wazambia walivyotarajia,unakumbuka nilileta post hapa last week inasema "nataka kuijua chadema kwa undani"ile post ilitokana na siasa za zambia,nilitaka niwajue vizuri Chadema ili tusije fanya makosa kama wazambia,na kama chadema inaweza kuja kuwa kama MMD ni bora tubakie na ccm mpaka tupate watu wa uhakika
Rais ana 74 years.... and we expect some changes, LOL
Rais ana 74 years.... and we expect some changes, LOL
Rais ana 74 years.... and we expect some changes, LOL
Yeah... like contesting since Kaunda was a live wire...anajulikana kwa maamuzi magumu,lazima kuna watu wataumia sana
mandela alikuwa na 80 yyears na alileta changes
kikwete alikuwa na 50s na hakuweza kuleta changes,aliweza kufanya changes za mademu!