Zamani tulikuwa wastaarabu sana.

Zamani tulikuwa wastaarabu sana.

Utakuta huyo ni bwana na bibi harusi.
 
Zaman mtu akikaa vibaya hata underskirt ikaonekana, mwanaume wanafunga macho wasiangalie.. Ila siku hizi kama hautapigwa finger sijui! Zamani rahaa kweli na ustaarabu ulikuwa kipaumbele

Mhhh Swts zamani ya miaka ipi iyo??! Kabla ya kufutwa jkt ama baada??!
 
Last edited by a moderator:
.... mmmh! lakini tunapata picha ya tunapo elekea! kwa wazungu utupu wa mwanamke ni tupu na chuchu tu!
 
Back
Top Bottom