Zamani tulikuwa wastaarabu sana.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Ilikuwa ukicheza na jinsia tofauti sio lazima muwe 'zero distance'
Ilikuwa sio ishu kumruhusu mpenzio au mkeo acheze na mwanaume mwingine.

attachment.php


Lakini siku hizi mambo ni tofauti kabisa!
attachment.php
 

Attachments

  • zamani.jpg
    zamani.jpg
    68.8 KB · Views: 924
  • sikuhizi.png
    sikuhizi.png
    53.7 KB · Views: 915
zamani tulikuwa tuna kaa mkekani lakini siku hizi tunakaa ktk dinning table! zamani tulikuwa tunalala nyumba za nyasi lakini siku hizi tunalala nyumba za vigae! Huko ndiko kwenda na wakati, wewe kalaga baho tuu!!!
 
kila kizazi na zama zake huwezi kuyazuia haya kwa sababu dunia ni lazima isonge mbele na maisha yaendelee.
 
every generation thinks the people in generation before it were idiot, and rhink that not any generation will come after it.
 
dah! huyo jamaaa anavyotoa macho kwa hyo picha ya siku hiz mmmmmmmmmmmmmmmmmh!
 
Halafu huyo anapekuwa wanawe saa hizi wanajifanya wameendelea kweli na wengine wote wajinga.
 
Zaman mtu akikaa vibaya hata underskirt ikaonekana, mwanaume wanafunga macho wasiangalie.. Ila siku hizi kama hautapigwa finger sijui! Zamani rahaa kweli na ustaarabu ulikuwa kipaumbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom