U uhuru tech Senior Member Joined Apr 16, 2017 Posts 135 Reaction score 257 Jul 25, 2026 #21 Pia mwaka 1997 sio mbali kiasi cha haice kuuzwa bei hiyo
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 6,646 Reaction score 11,923 Jul 25, 2026 #22 Itoshe kusema mleta uzi amekurupuka na baada ya kugundua kosa lake ametokomea kusikojulikana
Mstahiki Mea JF-Expert Member Joined Jul 13, 2018 Posts 6,314 Reaction score 11,875 Jul 25, 2026 #23 Ndio maana wanasema usikurupuke kabla ya kupost
J johnmashilatu JF-Expert Member Joined Sep 16, 2010 Posts 1,211 Reaction score 1,620 Jul 25, 2026 #24 Hiyo namba ya MOBITEL mbona haipokelewi?