ZaiyLissa kuandaa party aliyoiita 'Usiku wa Talaka' adai sio shida zake kufanya sherehe, "kwa nini niolewe na sherehe na nitoke bila sherehe?"

ZaiyLissa kuandaa party aliyoiita 'Usiku wa Talaka' adai sio shida zake kufanya sherehe, "kwa nini niolewe na sherehe na nitoke bila sherehe?"

Watu wa daslam wanashobokea mademu wa kawaida sana, hivi mkija huku kaskazini mkakuta mtoto mkali kama Rihana alafu anauza mgahawa si mtashangaa sana?

Hiyo pisi ndefu kama ngongoti huku kaskazini haina soko wala tukipishana nayo hatuangalii nyuma
Kinachozingatiwa kwa mwanamke akiwa ndani ya himaya ya mwanaume ni mahabbat yake,, how romántic she is

Bahati mbaya mademu wa Kaskazini hii kitu hawana,
Wazuri wa sura ila hawajui kuwa romántic, hawana ufundi wa kuhudumia mwanaume kwa maneno na matendo
 
Kwa hiyo gazeti la Mwanaspoti ndilo limechukua nafasi ya Magazeti yale ya umbea zamani (Sani na Kiu)?
 
Watu wa daslam wanashobokea mademu wa kawaida sana, hivi mkija huku kaskazini mkakuta mtoto mkali kama Rihana alafu anauza mgahawa si mtashangaa sana?

Hiyo pisi ndefu kama ngongoti huku kaskazini haina soko wala tukipishana nayo hatuangalii nyuma
Huko mna maisha magumu hatuji, halafu kaskazini watoto wana miguu kama spoku
 
Alipitia magumu yapi??au Haji alikuwa anaendesha hilo gari kwa rivasi??
 
Back
Top Bottom