ZaiyLissa kuandaa party aliyoiita 'Usiku wa Talaka' adai sio shida zake kufanya sherehe, "kwa nini niolewe na sherehe na nitoke bila sherehe?"

Aisee, watu wanapitia mengi huko vyumbani
Ni huzuni na masikitiko...mbaya zaidi mwanamke alikua Hana upendo na manara.

Wanapiga mapicha na kuvimba nayo kwenye media kumbe ndoa ndani haina furaha wanawake Kama huyo wa manara wanaweka uzazi wa mpango iwe kitanzi / kijiti ama sindano DEPO INJECTION ili asipate ujauzito.

Siku nyingine manara akatae kua daraja kutumika AKATAFUTE mwanamke Binti mcha MUNGU na asiwe na mambo mengi.
 
Naona mikataba imeisha, usanii unaendelea.. Apime na Afya sasa mbele ya wana sherehe ili zile stori za kwamba namna gani pale ziishe na uwe usiku wa furaha kwake..
Hawezi jua anaweza pata dili la ubalozi wa Majenereta pia
 
Hizo ghalama za sherehe si bora angeenda kutoa msaada kwa wenye mahitaji maalum labda angepata thawabu kwa mwenye enzi Mungu.

Kasema Sare ni vijora kwa hiyo pambe tu 😆😆😆
Hapo gharama ukute ni za ukumbi tu na kwa mkopo
Ukifika hizo sherehe usishangae hakuna vinywaji wala chakula utajinunulia mwenyewe.
Ni mambo ya kienyeji tu.
Sherehe za kuswaz wanaziweza wenyewe
 
MOJA ya habari zinazotreni mitandaoni na vyombo vya habari ni iliyokuwa ndoa ya Haji Manara na Zaylissa ambayo imefikia mwisho na inaelezwa mwanadada huyo amepanga kushusha bonge la pati kusherehekea talaka yake.

Zaylissa amesema ataandaa sherehe hiyo atakayoipa jina la 'Usiku wa Talaka' kwani hadi anaipata talaka hiyo, haikuwa kazi rahisi na ametumia nguvu za ziada.

Akizungumza na Mwanaspoti, mwigizaji huyo wa Bongo Movie amekiri mpango huo ni kweli kwani aliolewa kwa sherehe na na atatoka kwa sherehe.

"Eeeh! sio shida nzangu kufanya sherehe, sasa kwa nini niolewe na sherehe na nitoke bila sherehe? Mimi mtoto wa Kitanga bwana, sherehe kwangu kama maji ya kunywa tu na isitoshe nimeitaka mwenyewe talaka alaah! We subiria muda ukifika nitakwambia nipo kwenye maandalizi na nitawaalika watu wengi wacheze, kunywa na kula kwa kadiri watavyojisikia, pia wakiwa wamevalia sare ya vijora pambe tu," amesema Zaylissa.

Zaylissa aliongeza, “Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema na kurejesha furaha yangu na kufungua ukurasa mpya wa maisha yangu, kwani siku chache zilizopita nilikuwa siko poa."

Amesema ndoa yake hiyo imemfunza mambo mengi na hata kama ikitokea ndoa nyingine, haitaweza kumteteresha kwani tayari ameshapita kwenye mafunzo.

“Sipendi kuzungumzia sana habari za ndoa hii kuvunjika, ila kifupi nilikuwa katika wakati mgumu na leo hii nimejifunza mengi katika maisha ya ndoa," amesema.

Hivi karibuni kumekuwa na matukio ya aina hiyo ya wanawake wanaotoka kwenye mahusiano na hasa ndoa 'talaka' kufanya sherehe kufurahia talaka hiyo.

Pia wapo wengine walioondoka kwa waume zao kabla hawajapewa talaka ila wanapokwenda kuichukua tu, huwa wanafanya sherehe. wenyewe huziita sherehe maalumu za kusherehekea kuachwa na kupewa talaka.

Mbali na hiyo, wapo wanawake wanaoongezewa mke kwa waume zao huwa wanafanya sherehe ya kumpokea mke mwenza. Mambo haya sio mageni kwa sasa na yanatrendi sana mitandaoni.View attachment 3307157

Mbona ana heka heka huyo "NJAA" kikwetu MAYALLA.
 
Haji aachane na kudate na super stars, madem wa mtandaoni.

He needs to change his thinking
 
Tusishangae, akili yake imemtuma hivyo! Kwako kuna ya maana zaidi, yeye ni mambo kama hayo!
Kazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom