ZaiyLissa kuandaa party aliyoiita 'Usiku wa Talaka' adai sio shida zake kufanya sherehe, "kwa nini niolewe na sherehe na nitoke bila sherehe?"

ZaiyLissa kuandaa party aliyoiita 'Usiku wa Talaka' adai sio shida zake kufanya sherehe, "kwa nini niolewe na sherehe na nitoke bila sherehe?"

Hizo ghalama za sherehe si bora angeenda kutoa msaada kwa wenye mahitaji maalum labda angepata thawabu kwa mwenye enzi Mungu.
 
Watu wa daslam wanashobokea mademu wa kawaida sana, hivi mkija huku kaskazini mkakuta mtoto mkali kama Rihana alafu anauza mgahawa si mtashangaa sana?

Hiyo pisi ndefu kama ngongoti huku kaskazini haina soko wala tukipishana nayo hatuangalii nyuma
Nasikiaga sikiaga zylisa sijui ndio nani ngoja nimgoogle nije kutoa mrejesho maana sio kwa kiki.

Mwanamke wa aina ya huyo Zai ni hasara yaani manara akitaka mbususu/ papuchi 400k analipishwa na mkewe? Maajabu Sanaa
 
kweli wanawake na maendeleo na maendeleo ndio hayo
jambo la kuacha sio jema ukiona ni furaha hapo ni tatizo

wanawake wa uswaz wameona kuuza vijora kunaambatana na mzik, tukio huu ni ubunifu mzuri
 
Waswahili wana mambo ya ajabu sana sometimes
Hata uongozi na siasa za Tanzania zimejengwa kwenye msingi wa uswahili uswahili. Siku zote waswahili ni watu wa maneno mengi na muda mwingi wanapoteza kufanya mambo yasiyo na maana, ya kivivu-vivu, huku vizazi vyao vikibaki kwenye umaskini. Tanzania iko hivyo hivyo. Nadhani ni kwa sababu chimbuko la siasa na uongozi ni Pwani.
 
Back
Top Bottom