Zaidi ya miaka 50 ya uhuru na ukatili/umaskini huu kwa wanawake wa tanzania! Utaisha lini??

Huu sasa ni wakati wa CHADEMA kuanzisha TV yake ili tuwe tunaona mambo mbalimbali yanayotokea katika nchi hii na kulinda ajira za Watangazaji wenye moyo na upeo kama huu wa Joyce Kiria, nazungumza haya kwa sababu huyu dada anaweza kuendelea na jitihada zake hizi na kama tujuavyo yeye ni mtangazaji wa kile kipindi cha wanawake Live hivyo isije tokea mmiliki wa kile kituo akaona Joyce anamuharibia kwani kuna uwezekano wadhamini wakapungua na kama tujuavyo wadhamini miongoni ni makampuni ya Mafisadi hivyo kuishambulia Serikali ya CCM ni moja kwa moja unashambulia maslahi ya Mafisadi
 
Umenena mambo ya msingi sana.. Hawa wamiliki wakitishwa kidogo tu wanaanza kuingia upepo
 
Karibu mwaya Joyce Kiria. Ndio maana tunaambiwa tuwasomeshe watoto wa kike. Hii ni changamoto kwetu wote. chama saidia hapa.

Mamndenyi
Hilo halina ubishi elimu ya maisha inaanzia nyumbani; ukimsomesha mwanamke mmoja unaielemisha jamii ya watu zaidi ya kumi; hapo sio tu nakuunga mkono bali nakuunga moyo wangu! nikiwa mwanajukwaa nashauri huyu mama tusiishie hapa tumsaidie akabiliane na maisha angalau apate kajimradi cha kukabiliana maisha; sadaka kumpa ya shekhe Ponda au mchungaji Lwakatare sina lakini kwa huyu mama ninazo anaonekana ni muhitaji na jamii ya kumsaidia ni sisi.
 
Last edited by a moderator:
unataka huyu chama aje kuichafua tu hii thread!! :wave:
Mamndenyi
Unaona jinsi makamanda walivyokosa busara? kamanda MTAZAMO nina hakika humjui Chama vizuri; acha nikufahamishe tu kitu kimoja chama ni mtu mkarimu; ana hekima na mwenye upendo; utu na mwenye kuheshimu watu! Achana na fitina na majungu ya JF kuna chui wengi tu wamejivisha ngozi ya kondoo; usinipe hila nisizozaliwa nazo; najua wengine wanaonekana ni binadamu kwasababu tu wameamua kuvaa misalaba mikubwa ya mbao lakini ndani ya nafsi zao ibilisi ana nafuu!
 
Ndugu zangu wanaJF, naushukuru uongozi wa JF kwa kuitambua account yangu hii kwa kui Verify.
Joyce Kiria, karibu sana jf!. We (jf) need more and more verified members!. Mimi ni miongoni mwa wafuatiliaji wazuri wa kipindi chako!. Siku nikikuona, nitakupa my comments!.
Keep it up!.
Pasco.
 
CCM ni sawa na panya BABA mwizi (JK) NA WAJUA WAUZA UNGA NA WARA RUSHWA NA NAWAPA MDA WAJIREKEBISHE,mtoto mwizi ritz1 muuza unga mashuhuri afrika mashariki na kati mama mwizi(MAMA SALMA mke wa kwanza wa rais kugombea NEC na kuwa na taasisi isiyoeleweka WAMMA
Tumekusikia,labda nikuulize swali.je CCM ndio iliyosababisha Dr Slaa aitelekeze familia yake na kwenda kuingilia ndoa nyengine halali? au hauoni kuwa huu nao ni ukatili kwa watoto na wanawake?
 
Mamndenyi
Hilo halina ubishi elimu ya maisha inaanzia nyumbani; ukimsomesha mwanamke mmoja unaielemisha jamii ya watu zaidi ya kumi; hapo sio tu nakuunga mkono bali nakuunga moyo wangu! nikiwa mwanajukwaa nashauri huyu mama tusiishie hapa tumsaidie akabiliane na maisha angalau apate kajimradi cha kukabiliana maisha; sadaka kumpa ya shekhe Ponda au mchungaji Lwakatare sina lakini kwa huyu mama ninazo anaonekana ni muhitaji na jamii ya kumsaidia ni sisi.

Mamndenyi; umeiona hiyo red? Ha ha ha! Lakini ujue huyo jamaa ni kibabu kweli kweli. Nakumbuka post zake za nyuma alishawahi kutueleza wasifu wake. You have been warned!
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi; umeiona hiyo red? Ha ha ha! Lakini ujue huyo jamaa ni kibabu kweli kweli. Nakumbuka post zake za nyuma alishawahi kutueleza wasifu wake. You have been warned!

dudu
Hizi fitina mnasomea chuo gani? yaani maneno yenu ni kuharibu tu kama ni hoja mngemuhoji yule babu aliyeoa mjukuu! Chama bado kijana anafit vizuri tu kwenye viatu vya Mamndenyi!
 
Last edited by a moderator:
Joyce Kiria, karibu sana jf!. We (jf) need more and more verified members!. Mimi ni miongoni mwa wafuatiliaji wazuri wa kipindi chako!. Siku nikikuona, nitakupa my comments!.
Keep it up!.
Pasco.

Mkuu Pasco
Hapo kwenye verified member ni utata mtupu vijana wengi wanataka kuwa verified tatizo ni kile kikosi cha Banyamulenge kilicho chini ya kijana mtanashati wa Bavicha! Kijana wangu aliwahi kuwa na jamaa samaki samaki kila akienda chooni alikuwa anasali sala ya mwisho maana bia yake alikuwa anaiacha bila ulinzi; bahati yake ilikuwa kijana mtanashati hakuwa na ile malighafi ya vumbi jeusi vinginevyo ingekuwa tunaongea mengine!
 
Last edited by a moderator:
chama siku zote wewe ni mtu wa watu
nawashangaa sana wale ambao hawakuelewi;
asante sana kwa mchango waku wa mawazo na kuonyesha
nia ya kumsaidia mlengwa.

copy; Joyce Kiria

Mamndenyi
Hilo halina ubishi elimu ya maisha inaanzia nyumbani; ukimsomesha mwanamke mmoja unaielemisha jamii ya watu zaidi ya kumi; hapo sio tu nakuunga mkono bali nakuunga moyo wangu! nikiwa mwanajukwaa nashauri huyu mama tusiishie hapa tumsaidie akabiliane na maisha angalau apate kajimradi cha kukabiliana maisha; sadaka kumpa ya shekhe Ponda au mchungaji Lwakatare sina lakini kwa huyu mama ninazo anaonekana ni muhitaji na jamii ya kumsaidia ni sisi.
 
Last edited by a moderator:
dudus na mimi ndo napenda hapo hapo ulipoweka redi;
chezea mwana siasa weye;
shauri zako.

Mamndenyi; umeiona hiyo red? Ha ha ha! Lakini ujue huyo jamaa ni kibabu kweli kweli. Nakumbuka post zake za nyuma alishawahi kutueleza wasifu wake. You have been warned!
 
Last edited by a moderator:
Zamani nikiwa mtoto kulikuwa kunatokea tangazo moja Redion "Tangazo la Polisi"

Mfano: "Mwili wa mwanaume umeokotwa ukielea baharini, siku ya mwisho marehemu alikuwa amevaa ........ na ana mwanya wa juu..... ni mweupe anakadiriwa kuwa na umri wa miaka 35, aliva nguo ya ndani rangi ya kijivu iliyoandikwa "Mike Tyson".......Yeyote aliyepotelewa na ndugu yake mwenye "Wajihi" huo afike kituo chochote cha polisi kilichokaribu naye.

Leo hii matangazo kama hayo hayapo kwasababu ya uwingi wa vifo vya ajabu ajabu maana kama utaratibu huu wa kutoa tangazo la polisi ungeendelea leo hii hii inamaana redio zingeshinda kutwa zikitangaza matukio hayo.

Enzi hizo kifo cha mtu mmoja kilikuwa kinaishitua jamii na kuleta maswali mengi na Polisi walichukua hatua stahiki, lakini leo hatuna jeshi la polisi. Thamani ya Jeshi la Polisi la sasa hivi inafanana na thamani ya Jeshi la Mgambo la wakati ule.

Just imagine Binti Mzuri ameolewa na kutendewa unyama huo halafu mhusika anaranda mitaani bila kukamatwa na polisi, "What type of Police Force do we have today, it is just an awkward Police Force"
 
Mkuu Pasco
Hapo kwenye verified member ni utata mtupu vijana wengi wanataka kuwa verified tatizo ni kile kikosi cha Banyamulenge kilicho chini ya kijana mtanashati wa Bavicha! Kijana wangu aliwahi kuwa na jamaa samaki samaki kila akienda chooni alikuwa anasali sala ya mwisho maana bia yake alikuwa anaiacha bila ulinzi; bahati yake ilikuwa kijana mtanashati hakuwa na ile malighafi ya vumbi jeusi vinginevyo ingekuwa tunaongea mengine!
Wanamwogopa huyu anaetembea na mabomu ya China....
images
 
Back
Top Bottom