Yani ni mbaya sn kumwongoza mwananchi ambaye hakutambui na kakupotezea,huwezi fikia malengo.Taifa limegawanyika kabisa.
Hao wabunge wa England huwaga wanatoka nje ya bunge kama watoto wadogo? Acheni kujihadaa, hizo mbinu zimepitwa na wakati.
Jibu swali kwanza. Ukawa wanataka "kumkomboa" mtanzania kwa kususia Bunge? Acha mambo ya kizamani; la sivyo ntakuitia Mkapa akupe maneno stahiki.
wabunge wa chadema sasa ni wanaharakati badala ya kusimamia hoja. Wanataka kumzidi hata bi kidjo simba. Wananchi wanataka kero zitatuliwe na siyo kutoka au kuzomea bungeni.
Hao wabunge wa England huwaga wanatoka nje ya bunge kama watoto wadogo? Acheni kujihadaa, hizo mbinu zimepitwa na wakati.
Siwezi kukuzuia kuona unavyotaka, hilo linategemea uwezo wako na uelewa wako. Unvyoona wewe hainipi shida.
Wabunge wa chadema sasa ni wanaharakati badala ya kusimamia hoja. Wanataka kumzidi hata Bi Kidjo Simba. Wananchi wanataka kero zitatuliwe na siyo kutoka au kuzomea bungeni.

Hii hali iliyotokea bungeni inazidi kukiimarisha chama tawala na kukiweka sawa. Naamini msukumo wa ufumbuzi wa mgogoro wa kikatiba Zanzibar utapewa uzito wa hali ya juu na kuamsha kufukiria upya suluhisho!
Wabunge wa chadema sasa ni wanaharakati badala ya kusimamia hoja. Wanataka kumzidi hata Bi Kidjo Simba. Wananchi wanataka kero zitatuliwe na siyo kutoka au kuzomea bungeni.
Hao wabunge wa England huwaga wanatoka nje ya bunge kama watoto wadogo? Acheni kujihadaa, hizo mbinu zimepitwa na wakati.
Mpaka sasa hujajibu swali: Hao wabunge wa England wanatoka nje kama watoto wadogo? Hili ndio swali nililouliza. Naona unaweweseka, sijui kwa nini.
Sasa wanakwenda kufanya nini bungeni kuuza sura , hatuna mpango nao hata wasiporudi tutapiga kazi tu, mbona siku zimepita hakuna wabunge na bwana Magu anapiga kazi tu