Zaidi ya 50% ya wabunge CHADEMA kushindwa 2020

Zaidi ya 50% ya wabunge CHADEMA kushindwa 2020

Hawana ubavu, na ndio maana walikimbia kabla Spika hajasema "tatu". Hukuona kwenye tv?

Mtu kama wewe unaetaka makosa yafumbiwe macho kisa sijui Rais wako anahutubia bunge hufai hata kuishi. Ukitaka heshima linda kwanza hiyo heshima. Shein na Gbagbo hakuna tofauti
 
Wana sababu ya kuzomea hao si watoto wadogo wakurupuke tu na kuzomea,

Ndio maana nikasema vyovyote itakavyokua kuna watu watalala nafsi zinawasuta na huenda zikawafikirisha namna bora ya kuja haraka na suluhu ya kudumu juu ya mgogoro wa kikatiba Zanzibar. Rais wa Zanzibar hasikiki kabisa huku, tangu masahaibu ya uchaguzi yatokee nimemsikia kaonekana bungeni. Hali ni tete, na hii sio aibu ya ukawa ni aibu ya taifa wenye akili zao watapenda kujua sababu ya hii yote ni kitu gani?
 
Wabunge wa chadema sasa ni wanaharakati badala ya kusimamia hoja. Wanataka kumzidi hata Bi Kidjo Simba. Wananchi wanataka kero zitatuliwe na siyo kutoka au kuzomea bungeni.

Kwanini mnajitoa ufahamu kwa kuliona tatizo pale wabunge wa ukawa walipoleta tafrani bungeni bila kurudi kwenye chanzo au kiini cha tatizo? Hii ya bungeni ni salamu tu kwa rais kuhusu picha ya hali halisi ya Zanzibar na madhara yanayoweza kutokea asipochukua hatua stahiki haraka.
 
Wabunge wa chadema sasa ni wanaharakati badala ya kusimamia hoja. Wanataka kumzidi hata Bi Kidjo Simba. Wananchi wanataka kero zitatuliwe na siyo kutoka au kuzomea bungeni.
Toa ushahidi juu ya topic heading yako
 
Eti Rais wako. Wewe kweli ni kichekesho.

Mr. Rungu ni jambo jema kuwa na wapinzani bungeni. Ni watchdogs wa taifa. Hata Magufuli ili afanye kazi iliyotukuka ni muhimu hao jamaa kuwepo bungeni !!!.
 
Mr. Rungu ni jambo jema kuwa na wapinzani bungeni. Ni watchdogs wa taifa. Hata Magufuli ili afanye kazi iliyotukuka ni muhimu hao jamaa kuwepo bungeni !!!.
Sijakataa hata kidogo. Upinzani ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa, lakini upinzani Tanzania bado sana. Bila ya upinzani kujitathmini kwa kina CCM itaendelea kutawala kwa miaka mingi ijayo.
 
Wabunge wa chadema sasa ni wanaharakati badala ya kusimamia hoja. Wanataka kumzidi hata Bi Kidjo Simba. Wananchi wanataka kero zitatuliwe na siyo kutoka au kuzomea bungeni.

Hebu jifikirishe kidogo maana kampeni zemeisha turudi kuwa objective, ni kero gani zinaweza kutatuliwa kama hali ya Zanzibar ni t?te? au hujui namna gani tunaathirika wote kwa hali ilivyo sasa? walichofanya UKAWA ni Ku exert political pressure ili suala hilo lipatiwe ufumbuzi...not more or less than that.
 
Hakuna mbinu mpya wala iliyopitwa na wakati, inahitajika mbinu ya kuwapatia wananchi maisha bora, kukuza uchumi wetu na kuhakikisha tunapata huduma bora.

he kukimbia tatizo nayo mbinu???? makubwa haya walipotoka what changed???
 
Wabunge wa chadema sasa ni wanaharakati badala ya kusimamia hoja. Wanataka kumzidi hata Bi Kidjo Simba. Wananchi wanataka kero zitatuliwe na siyo kutoka au kuzomea bungeni.

Hebu jifikirishe kidogo maana kampeni zemeisha turudi kuwa objective, ni kero gani zinaweza kutatuliwa kama hali ya Zanzibar ni t?te? au hujui namna gani tunaathirika wote kwa hali ilivyo sasa? walichofanya UKAWA ni Ku exert political pressure ili suala hilo lipatiwe ufumbuzi...not more or less than that. Hoja yako ya unajimu is too low to be answered.
 
unaota sana wewe. mwaka 2010 walitoka nje mbona mwaka huu wameongezeka bungeni? nakuhakikishia mwaka 2020 wataongezeka zaidi. binafsi nimeipenda chadema zaidi kuliko mwaka 2010. sisi wananchi tuliochagua wabunge wa ukawa tunaunga mkono kilichofanywa na wabunge wa ukawa bungeni jana. huu sio muda wa kuongoza kijanjaujanja.
 
Wabunge wa chadema sasa ni wanaharakati badala ya kusimamia hoja. Wanataka kumzidi hata Bi Kidjo Simba. Wananchi wanataka kero zitatuliwe na siyo kutoka au kuzomea bungeni.
Ndivyo ramli ilivyokuambia?
 
Sijakataa hata kidogo. Upinzani ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa, lakini upinzani Tanzania bado sana. Bila ya upinzani kujitathmini kwa kina CCM itaendelea kutawala kwa miaka mingi ijayo.

ccm haiongozi taifa kwa kupendwa na wananchi kamwe bali ni ubabe. tumeona kilichotokea zanzibar. shein analazimisha kuongoza zanzibar ilihali kashindwa....
 
ccm haiongozi taifa kwa kupendwa na wananchi kamwe bali ni ubabe. tumeona kilichotokea zanzibar. shein analazimisha kuongoza zanzibar ilihali kashindwa....
Utabaki kulialia hadi unazeeka. Nenda kachague jiwe.
 
Back
Top Bottom