Mzee Mchopu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,031
- 268
Jibu swali kwanza. Ukawa wanataka "kumkomboa" mtanzania kwa kususia Bunge? Acha mambo ya kizamani; la sivyo ntakuitia Mkapa akupe maneno stahiki.
Wapi waliposusia bunge au udikteta umetumika maana ndo zenu magamba si. Wasikivu