Rungu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 3,932
- 1,727
Kwani nani amekuambia inakupa shida? Hizo ni hisia zako tu.Siwezi kukuzuia kuona unavyotaka, hilo linategemea uwezo wako na uelewa wako. Unvyoona wewe hainipi shida.
Kwani nani amekuambia inakupa shida? Hizo ni hisia zako tu.Siwezi kukuzuia kuona unavyotaka, hilo linategemea uwezo wako na uelewa wako. Unvyoona wewe hainipi shida.
Naona umechanganyikiwa.
Siwezi kukuzuia kuona unavyotaka, hilo linategemea uwezo wako na uelewa wako. Unvyoona wewe hainipi shida.
Kwani nani amekuambia inakupa shida? Hizo ni hisia zako tu.
Kwani nimekuambia kuna mtu ameniambia?Aliyekwambia unaona nimechanganyikiwa!
Jibu swali kwanza. Ukawa wanataka "kumkomboa" mtanzania kwa kususia Bunge?
acha ujinga wamesema wamesusia bunge au wamesusia hotuba ya rais kwa kuwepo Shein ambaye si rais halali wa Zanzibar na kwa nini utaje wabunge wa chadema tu wa vyama vingne vinavyounda ukawa je? Na kaa ukitambua kuwa ndiyo wamesha itia nuksi serikali itakuwa ya jk.
Kwani nimekuambia kuna mtu ameniambia?
acha ujinga wamekuambia au wamesusia hotuba ya rais kwa kuwepo Shein ambaye si rais halali wa Zanzibar na kaa ukitambua kuwa ndiyo wamesha itia nuksi serikali itakuwa ya jk.
kule wanajali sheria na kusikia hoja za wapinzani tofauti na huku sheria zinavunjwa na hoja zao zinapingwa hata kama ni za msingi kwa hiyo kutoka nje ni kulinda heshima yao kwa kile wanachokisimamiaMpaka sasa hujajibu swali: Hao wabunge wa England wanatoka nje kama watoto wadogo? Hili ndio swali nililouliza. Naona unaweweseka, sijui kwa nini.
Wewe kichaa sijui umeibukia wapi.acha ujinga wamekuambia au wamesusia hotuba ya rais kwa kuwepo Shein ambaye si rais halali wa Zanzibar na kaa ukitambua kuwa ndiyo wamesha itia nuksi serikali itakuwa ya jk.
Nenda huko basi na sio kuendeleza malumbano yasiyo na mwisho hapa.kule wanajali sheria na kusikia hoja za wapinzani...
Naona sasa akili imekurudia.Usipoteze nguvu zako hapo, hautaambua chochote cha maana.
Nenda huko basi na sio kuendeleza malumbano yasiyo na mwisho hapa.
Hao wabunge wa England huwaga wanatoka nje ya bunge kama watoto wadogo? Acheni kujihadaa, hizo mbinu zimepitwa na wakati.
Kawaambie Ukawa wanaodhani chuki na uhasama ni mtaji wa kisiasa. Tusipotezeane muda hapa tafadhali.akili kama hizi ndiyo zinasababisha taifa haliendelei na watawala kutotekeleza malengo yao kwa kujenga chuki na uhasama na watu ambao ni muhimu katika utekelezaji wa malengo yao.
Hawana ubavu, na ndio maana walikimbia kabla Spika hajasema "tatu". Hukuona kwenye tv?Ulitaka wabaki humo waendelee kumfanyia rafu na Magufuli wako ??????...
Wabunge wa chadema sasa ni wanaharakati badala ya kusimamia hoja. Wanataka kumzidi hata Bi Kidjo Simba. Wananchi wanataka kero zitatuliwe na siyo kutoka au kuzomea bungeni.
Ni haki yako kujidanganya.Bunge lililopita wamezomea wametoka nje. Swali je uchaguzi huu wamepungua au wameongezeka? Wananchi sasa wanajitambua wanajua wanachokisimamia ndo mana wana imani nao sasa subiri bunge lianze utaona umuhimu wao na 2020 wataongezeka zaidi
Hii hali iliyotokea bungeni inazidi kukiimarisha chama tawala na kukiweka sawa. Naamini msukumo wa ufumbuzi wa mgogoro wa kikatiba Zanzibar utapewa uzito wa hali ya juu na kuamsha kufukiria upya suluhisho!
Tuliza akili soma tena nilichokiandika, sijataja ccm wala ukawa, nimetaja wananchi na wanachokihitaji, sijasema kuhusu kususia bunge, kuahirisha uchaguzi, kukandamiza katiba walakuzomea bunge, nimejikita kwenye mbinu itakayomkomboa mwananchi. Hayo mengine hayanihusu.
Mpaka sasa hujajibu swali: Hao wabunge wa England wanatoka nje kama watoto wadogo? Hili ndio swali nililouliza. Naona unaweweseka, sijui kwa nini.