Wabunge wa chadema sasa ni wanaharakati badala ya kusimamia hoja. Wanataka kumzidi hata Bi Kidjo Simba. Wananchi wanataka kero zitatuliwe na siyo kutoka au kuzomea bungeni.
Hao wabunge wa England huwaga wanatoka nje ya bunge kama watoto wadogo? Acheni kujihadaa, hizo mbinu zimepitwa na wakati....hata England utasikia shama shame...
Wabunge wa chadema sasa ni wanaharakati badala ya kusimamia hoja. Wanataka kumzidi hata Bi Kidjo Simba. Wananchi wanataka kero zitatuliwe na siyo kutoka au kuzomea bungeni.
Hao "wananchi" uliongea nao saa ngapi?Na wananchi wameidharau sn serikali ya kulazimisha ujue...
Hao wabunge wa England huwaga wanatoka nje ya bunge kama watoto wadogo? Acheni kujihadaa, hizo mbinu zimepitwa na wakati.
Jibu swali kwanza. Ukawa wanataka "kumkomboa" mtanzania kwa kususia Bunge? Acha mambo ya kizamani; la sivyo ntakuitia Mkapa akupe maneno stahiki.Hakuna mbinu mpya wala iliyopitwa na wakati, inahitajika mbinu ya kuwapatia wananchi maisha bora, kukuza uchumi wetu na kuhakikisha tunapata huduma bora.
Jibu swali kwanza. Ukawa wanataka "kumkomboa" mtanzania kwa kususia Bunge? Acha mambo ya kizamani; la sivyo ntakuitia Mkapa akupe maneno stahiki.
Sawa, lakini mimi nimetaja Ukawa. Sasa tatizo liko wapi?...sijataja ccm wala ukawa...
Sawa, lakini mimi nimetaja Ukawa. Sasa tatizo liko wapi?
Jibu swali kwanza. Ukawa wanataka "kumkomboa" mtanzania kwa kususia Bunge? Acha mambo ya kizamani; la sivyo ntakuitia Mkapa akupe maneno stahiki.
Mbona una mchecheto. Kwani wewe ni Ukawa?Tatizo liko hapa, sijui umeitoa wapi hii wakati kwenye bandiko langu haipo.
Mbona una mchecheto. Kwani wewe ni Ukawa?
Mpaka sasa hujajibu swali: Hao wabunge wa England wanatoka nje kama watoto wadogo? Hili ndio swali nililouliza. Naona unaweweseka, sijui kwa nini.Rudi kwenye hoja, hilo swali linaingia vipi hapo?
Hao wabunge wa England huwaga wanatoka nje ya bunge kama watoto wadogo? Acheni kujihadaa, hizo mbinu zimepitwa na wakati.
Hakuna mbinu mpya wala iliyopitwa na wakati, inahitajika mbinu ya kuwapatia wananchi maisha bora, kukuza uchumi wetu na kuhakikisha tunapata huduma bora.
Mpaka sasa hujajibu swali: Hao wabunge wa England wanatoka nje kama watoto wadogo? Hili ndio swali nililouliza. Naona unaweweseka, sijui kwa nini.
Naona umechanganyikiwa.Kwenye jibu langu uliona nimeisifia hiyo unayoiita mbinu ya kutoka nje? Nimetoa maelezo rahisi tu na ya kueleweka kwamba hizi sarakasi zoooote hazitusaidii kama hazimkomboi mwananchi, nikaongezea tunahitaji mbinu zitakazokwamua uchumi wetu na kutuwezesha kutupa huduma bora iwe ni mbinu za zamani au mpya ila kama zinatupatia hivyo vitu zitumike.
Huwezi kufananisha reaction ya wabunge wa England na wabunge wetu wakati hata kiwango cha demokrasia na utawala bora havikaribiani.
Naona umechanganyikiwa.