Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,695
Dunia ya sasa imebadilika mawazo mgando mmebaki wachache mnooo hiki ni kizazi cha kuhoji....na msipofanya lolote tena msimu huu 2020 ndio utakuwa mchungu kwenu ...vijana ndio watakao amua nyie mawazo mgando mtakuwa mmebaki wawili... elimu ya kata mnaoitoa ndio itawaangamiza..m