Miaka 5 ni mingi sana kuweza kuamua uwepo wa mbunge fulani kurudi bungeni au lah! hivyo unapaswa kutuambia hiki ulichopost hasa tukifikia angalau nusu ya pili ya kipindi cha mbunge.
Pia watanzania ni wepesi wa kusahau ubaya wa kuongozi hivyo kumrudisha madarakani hata kama alitenda mabaya 7 mwanzo na akamalizia kwa kuwaletea ambulance mwishoni, kuna viongozi walikuwa viazi madarakani na hata wengine kutumia hata lugha za kuudhi wananchi ila mwishoni wakaleta vifuta machozi na wamerejeshwa madarakani.
Hushangai mtu yeye ni shida miaka yote lakini kipindi cha uchaguzi aidha anamrudisha kiongozi yuleyule wa mwanzo, au hapigi kura kabisa utadhan anamkomoa kiongozi.