Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,441
- 38,436
Manji wa YANGA ama yule wa SISIEMU?Mambo ya kampuni za Manji kushinda tenda za kununua ndege serikalini tulishatoka huko. Labda kama Chadema mnataka kuturudisha huko.
Manji wa YANGA ama yule wa SISIEMU?Mambo ya kampuni za Manji kushinda tenda za kununua ndege serikalini tulishatoka huko. Labda kama Chadema mnataka kuturudisha huko.
Unaijua sheria ya manunuzi lakini au unauliza swali lisilojibika? Tusaidie nani anaweza nunua? Ukiniambia mimi siku nikiwa boss nijifanye nanunua, hujiulizi kwanini asinunue mkurugenzi mkuu wa ATCL ambaye ni boss? Nitakuwa kichaa kama nitajipendekeza kununua wakati najua mamlaka hiyo sinaSasa siku moja wewe uwe boss mahali halafu ujifanye kununua nje ya sheria ya manunuz ya umma kama hata week moja utachukua kabla ya kuburuzwa kortini kama Dar ni Kisutu na kwa sasa mahakama ya Mafisad na Wahujumu Uchumi. Jaribu uone kama hutaizea jela.
Weweee, usifikiri kila mtu ni taahira wa aina yako. WHY TOYOTA?
Usijitoe fahamu kiasi hicho, utakuja kuidhalilisha familia yako. Yapo makampuni mengi ya kutengeneza ndege, zenye sifa, uwezo na gharama tofauti. Bodi za manunuzi, baada ya kupata maombi kutoka kwa kitengo mtumiaji, huzipitia sifa zilizoorodheshwa na wao kuzitangaza kwenye zabuni. Kila mwenye kujiona anacho chombo chenye kukidhi vigezo hivyo, ataingia kushindana. Sasa wewe unaongea utaahira gani hapa?
Soma jinsi Magufuli alivyotetea ununuzi wa hiki kivuko:
MV Dar es Salaam kufa kabla ya kuanza kazi?
Time will tell.[/QUOTE
Acha kuhamisha magoli,tunaongelea ununuzi wa ndege
ipo sawaSpelling check out.
Acha udumafu wa fikra. Kilikwambia wewe?Acha ubishi, sasa iwapo kitengo mtumiaji kinataka Bombadier na Boeing unataka tender ya nini tena?
Kesho na keshokutwa mambo yakiharibika msitafute visingizio.
Alichohoji ni kuwa kampuni za kutengeneza ndege zipo nyingi mbona tenda haijatangazwa? Ila amesikia tu mtu kashashindaSingle source unaijua? Ulitaka kununua Toyota si unajua? Kuna muuzaji mmoja tu anayezalisha gari za Toyota duniani ambaye ni Toyota .Ulitaka watu wengi walete quotation za nini wakati si wazalishaji wa Toyota? Hao watakuwa mawakala tu wanaotaka commission unanunua kiwandani moja kwa moja.Ulitaka ndege za bombardier au Boeing zinazalishwa na mmoja tu duniani huwezi taka wengi walete tends watakuwa madalali tu wanaotaka kukukalia wapige cha juu kama commission nk .Inaonyesha upeo wako wa sheria za manunuzi Mdogo mno
Weka akiba ya maneno usiwaamini sana hawa watu.Inaweza kuibuka tuhuma ambayo hakuna anaeweza kuiamini.Mkuu sometimes usiwe na mawazo negative tuu! Try to be optimistic and positive. Stop being petty!
Kwa nini uwaze mambo kuharibika? kwa nini usiwaze mambo kuwa mazuri? You are what you think!
Hata kama Magufuli humpendi...wewe na watoto wako mnaishi humu humu Tanzania. Wish Magufuli well. Wish our country every success. Hata kama unaona umeshapoteza......chini ya huu utawala......mwanao au mwanangu might have a bright future from what this man is doing.
Again, you can criticize but just know....this is our country. Always know that Tanzania is bigger than any of us or our differences. hata kama hatuwapendi watawala kwa namna yoyote ile..isitufanye tukapoteza mapenzi na nchi yetu..it has given us so much and it is the only place we call home.
Jiulize watu walivyomchukia Trump wakati anagombea.....mpaka wengine wakasema watahama nchi akishinda...but at the end of the day hata aliowatukana/waliomtukana..wamekubali kwamba America is bigger than their egos. They need to work together. And indeed watafanikiwa kulisongesha taifa lao.
Masanja
Weka akiba ya maneno usiwaamini sana hawa watu.Inaweza kuibuka tuhuma ambayo hakuna anaeweza kuiamini.
Kwa mfano,labda nikuulize ulitarajia kusikia tuhuma za wabunge kuhongwa milioni kumi kumi?
UNACHOSEMA SAHIHI IKIWA TU UNA MMACHAGUZI MENGI YAANI UNATAKA PICKUP HAPO KUNA NISAN TOYOTA MAZDA ISUZU,MITSUBISH NKWeweee, usifikiri kila mtu ni taahira wa aina yako. WHY TOYOTA?
Usijitoe fahamu kiasi hicho, utakuja kuidhalilisha familia yako. Yapo makampuni mengi ya kutengeneza ndege, zenye sifa, uwezo na gharama tofauti. Bodi za manunuzi, baada ya kupata maombi kutoka kwa kitengo mtumiaji, huzipitia sifa zilizoorodheshwa na wao kuzitangaza kwenye zabuni. Kila mwenye kujiona anacho chombo chenye kukidhi vigezo hivyo, ataingia kushindana. Sasa wewe unaongea utaahira gani hapa?
R=l !!!!!! Kazi kweli kweliHuyo mke urieoa uritangaza tender kwenye gazeti gani? au urijiamuria mwenyewe?
ukinijibu hiro, jiurize na ujijibu kuhusu ndege.
Nadhani mkuu kama unafahamu njia mbali mbali za manunuzi ungemuelewesha mtoa uzi ili nae apate kufahamu...Kuna njia ngapi za manunuzi ya umma mbali ya tender unazozifahamu...???
Ningekushauri uwe unafanya literature review kabla ya kukimbilia jamiiforum na ungumbalu wako..
Unataka mambo ya Ten Per Cent yaendelee? kuna mambo yanahitaji Tender na mambo mengine yanahitaji maamuzi.