Hivi ndivyo lumumba mnavyodhihirisha upumbavu wenu! unashindwa kumjibu mtoa mada kama alivyouliza!Hizo tenda hutangazwa pale Ufipa street, bado hujaziona?
Kama utakua umemuelewa mtoa mada hajabeza chochote! Hiyo sheria ipo au haipo?Ni kwamba unakiwanda cha kutengeneza Ndege na hukujulishwa wakati wa manunuzi au ni kukomfyuz tu jitihada za kimaendeleo zinazofanywa? Kwann tusilalamikie mambo yanayo tugusa moja kwa moja kama maji, madawa, barabara nk.
Mkuu,siyo wote wanaoulizia haya mambo wana nia mbaya au wanakosoa, wanajua zipo sheria za Manunuz ya umma, ikiwemo single source, selective,international/domestic competetive tendering et al. Hizo zimewekwa na kunakuwa na team za watu wa zabuni.Hivi mabadiliko gani mliyataka wenzetu mliyataka kila siku mnaimba tatizo mfumo.
Hata kama sheria mbovu ifuatwe tu unajua wanakouza ndege unatangaza tenda ya nini huo ni upumbavu.
Kuishi Jumba jeupe haina maana ya kutofuata sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa sheria. Yeye sio malaika. Ni binaadamu kama sisi na ana matamanio kama wengine na ndio maana kuna mipaka ya kiutendaji kwa kuzingatia "segregation of duties" kiasi kwamba kunapotokea makosa ni rahisi kurekebishana. Kwa maana huwezi kutenda na kutoa maamuzi peke yako. Lazima kuwe na ukomo wa kiutendaji.Unataka mambo ya Ten Per Cent yaendelee? kuna mambo yanahitaji Tender na mambo mengine yanahitaji maamuzi.
hakuna sheria mbaya ambayo watanzania wameitumia kuhujumu nchi yao wenyewe kama hiyo sheria ya manunuzi na tender.........yaani bora tu JPM anavyoamua kununua mwenyewe....100% nampongeza.....tumeshindwa kuonesha uzalendoHivi ununuzi wa ndege mbili aina ya Bombadier ulifanywa kwa kutumia utaratibu wa kutangaza tender?
Ununuzi wa ndege tatu/nne zilizobaki nao utafanywa bila tender kutangazwa?
Manunuzi ya umma yamewekewa utaratibu wa kutumia tender ambapo kampuni inayoshinda ndio inapewa kazi au jukumu la kufanya manunuzi kwa niaba ya serikali.
Sasa wadau kwenye ununuzi wa ndege hizi,utaratibu huu unafuatwa na kama haufatwi, inatosha tu sisi kuridhika na kuamimi kuwa kila kitu kiko sawa?
Kwanini makampuni ya utengenezaji wa ndege hizi yasishindanishwe kwa uwazi?
Yetu macho na masikio.
Ha ha ha, swali la kipuuzi hupata jibu la kipuuzi. Ulitaka jibu gani kwani?Hivi ndivyo lumumba mnavyodhihirisha upumbavu wenu! unashindwa kumjibu mtoa mada kama alivyouliza!
Hiyo sheria si ipo kwanini isitumike?
richmond walitumia mfumo gani?Nadhani watakuwa wanatumia utaratibu wa GNT (Government Negotiating Team).
Unaikumbuka issue ya Mv Bagamoyo? Ni nani alikuwa anaongoza manunuzi yake? Tusiwaone watu ni malaika, kumbukumbu zipo.hakuna sheria mbaya ambayo watanzania wameitumia kuhujumu nchi yao wenyewe kama hiyo sheria ya manunuzi na tender.........yaani bora tu JPM anavyoamua kununua mwenyewe....100% nampongeza.....tumeshindwa kuonesha uzalendo
ingetangazwa tenda bei zake zingekuwa maradufu. raisi kaamua kununua. usihojiHivi ununuzi wa ndege mbili aina ya Bombadier ulifanywa kwa kutumia utaratibu wa kutangaza tender?
Ununuzi wa ndege tatu/nne zilizobaki nao utafanywa bila tender kutangazwa?
Manunuzi ya umma yamewekewa utaratibu wa kutumia tender ambapo kampuni inayoshinda ndio inapewa kazi au jukumu la kufanya manunuzi kwa niaba ya serikali.
Sasa wadau kwenye ununuzi wa ndege hizi,utaratibu huu unafuatwa na kama haufatwi, inatosha tu sisi kuridhika na kuamimi kuwa kila kitu kiko sawa?
Kwanini makampuni ya utengenezaji wa ndege hizi yasishindanishwe kwa uwazi?
Yetu macho na masikio.
Huu unaweza kuwa ni uchochoro mbovu kuliko hata tunavyodhani.Marekebisho katika sheria mpya ya manunuzi yanaruhusu serikali kununua bidhaa moja kwa moja toka kwa mzalishaji. Watu inabidi waelewe kuwa sheria ya manunuzi inayotumika sasa ni ya 2016 ambayo inaruhusu ofisi ya serikali kununua bidhaa moja kwa moja kutoka kwa mtengenezaji.
"Aidha, ili kupata bei iliyo chini ya soko bila kuathiri
ubora wa bidhaa au huduma, ofisi husika kwa nia ya
kupata thamani ya fedha na ubora wa juu,
imetakiwa kufanya ununuzi wa bidhaa na huduma
mahususi moja kwa moja kutoka kwa mtengenezaji,
au kiwandani, mwakilishi wa mtengenezaji au wa
kiwanda, muuzaji wa jumla au mtoa huduma."
habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/11188-sheria-ya-manunuzi-yaua-upigaji-dili
Serikali kwa level ipi? Halmashauri au Serikali kuu? Imeruhusiwa lini kiongozi wa taasisi ya serikali au shirika kununua kwa cash! Hiyo italeta balaa kubwa hasa kwa watu wasio waadilifu.Marekebisho katika sheria mpya ya manunuzi yanaruhusu serikali kununua bidhaa moja kwa moja toka kwa mzalishaji. Watu inabidi waelewe kuwa sheria ya manunuzi inayotumika sasa ni ya 2016 ambayo inaruhusu ofisi ya serikali kununua bidhaa moja kwa moja kutoka kwa mtengenezaji. Watu wasikariri ile ya 2011, sasa tunayo mpya ya 2016
"Aidha, ili kupata bei iliyo chini ya soko bila kuathiri
ubora wa bidhaa au huduma, ofisi husika kwa nia ya
kupata thamani ya fedha na ubora wa juu,
imetakiwa kufanya ununuzi wa bidhaa na huduma
mahususi moja kwa moja kutoka kwa mtengenezaji,
au kiwandani, mwakilishi wa mtengenezaji au wa
kiwanda, muuzaji wa jumla au mtoa huduma."
www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/11188-sheria-ya-manunuzi-yaua-upigaji-dili
Huu unaweza kuwa ni uchochoro mbovu kuliko hata tunavyodhani.