Za Lameck zinahesabika?

weak matal replaced by strong metal, mafia wanaoneshana umwamba
 
weak matal replaced by strong metal, mafia wanaoneshana umwamba
 
Nahusika kwa asilimia 100 na maandishi yangu.. Sihusiki hata kwa asilimia moja na tafsiri zako.. Sawa mkuu!

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutofumbia macho watu wanaojichukulia sheria mkononi wakati mwingine hata dhidi ya vyombo vya dola.

Ametoa wito huo akiwa Mwibara mkoani Mara leo Oktoba 2, 2026 akieleza kuwa vitendo hivyo vikifumbiwa macho vitatengeneza madhara makubwa na kuathiri hali ya kiusalama nchini.
 
weak matal replaced by strong metal, mafia wanaoneshana umwamba
 
Amemanisha nini?
 
Ndio hii ya kudhalilishana? Ila inawezekana mbona Chongolo ilikua hivyo leo ni waziri wa kilimo.

CCM sio wa kuwaamini.
Siwaamini hawa wazee hata kidogo ni kama nilivyo mkataa Nchimbi.

Ishu yake yote naona ni mbinu ya CCM kumuuza kwa raia, itakuja siku utakuta wale wote ambao hawakushiriki uchaguzi 2025 Majariwa, Makamba na wengineo wakakaa upande wa Nchimbi ila mwisho wa siku wote walewale, chama kimoja ni uchezqji wa karata tu.

Ni maoni yangu binafsi kwasababu hata video bado sijaona ila hii October sarakasi zitakuwa nyingi, nahisi hii ni moja wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…