secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,609
Hakuna bana huyu ni mzuli wa asili njoo asubuhi njoo mchana......Ukikutana naye asubuhi kabla hajajipodoa ndiyo utajua urembo wake ukoje. Vinginevyo hiyo ndiyo nguvu ya "makeup"
Hakuna bana huyu ni mzuli wa asili njoo asubuhi njoo mchana......Ukikutana naye asubuhi kabla hajajipodoa ndiyo utajua urembo wake ukoje. Vinginevyo hiyo ndiyo nguvu ya "makeup"
Dah! Kwahiyo hapa Waganda waanze kwa kumshukuru JPM na serikali ya awamu ya tano?!!!JPM kaibumbulua Africa kila nchi inachunga rasilimali zake
Hamna kitu kama hicho ni kwasababu za uhusiano mzuri na Bobwine mpizani mkuu wa dictetor m7 huyu Mama aliita Bobwine kama 'Mandele mpya wa Africa' pia Bobwine kashapigwa marufuku kuimba Uganda, sidhani nayeye inahitaji working permit kufanya kazi nchini kwake.........Naipongeza Sana immigration department ya Uganda. Hakuna kupindisha taratibu eti kwa vile Ni msanii. Katika nchi zao wenzetu wanafanya hivyo hivyo.
Nimekumbuka video ya "I 'm burning Up" - linaonekana gari la fire likikata mitaa kwa speed kubwa kwenda kuzima moto ulioripuka kutokana na cheche za mapenzi ya Yvone Chakachaka.Every woman needs a man na Take my love its free ninazo. Na nyingine nyingi
mwambie kitu mtanzania akawaambie wengine kama yeye ndio alikijua mwanzo.....Hamna kitu kama hicho ni kwasababu za uhusiano mzuri na Bobwine mpizani mkuu wa dictetor m7 huyu Mama aliita Bobwine kama 'Mandele mpya wa Africa' pia Bobwine kashapigwa marufuku kuimba Uganda, sidhani nayeye inahitaji working permit kufanya kazi nchini kwake.........
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakawaida mbona kama bibi yanguDah huyu mama mrembo,japo umri umeenda lakini hamna mwanamke jf anamfikia kwa mvuto huyu mama
View attachment 1309761