Yvonne Chakachaka atimuliwa Uganda kwa kufanya shughuli ya kujiingizia kipato bila kibali cha kazi, Mwenyewe akanusha na kuahidi kurejea Uganda

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
3,490
Points
2,000

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
3,490 2,000
Naipongeza Sana immigration department ya Uganda. Hakuna kupindisha taratibu eti kwa vile Ni msanii. Katika nchi zao wenzetu wanafanya hivyo hivyo.
Hamna kitu kama hicho ni kwasababu za uhusiano mzuri na Bobwine mpizani mkuu wa dictetor m7 huyu Mama aliita Bobwine kama 'Mandele mpya wa Africa' pia Bobwine kashapigwa marufuku kuimba Uganda, sidhani nayeye inahitaji working permit kufanya kazi nchini kwake.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
3,498
Points
2,000

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
3,498 2,000
Every woman needs a man na Take my love its free ninazo. Na nyingine nyingi
Nimekumbuka video ya "I 'm burning Up" - linaonekana gari la fire likikata mitaa kwa speed kubwa kwenda kuzima moto ulioripuka kutokana na cheche za mapenzi ya Yvone Chakachaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

nkumbison

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Messages
1,243
Points
2,000

nkumbison

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2013
1,243 2,000
Hamna kitu kama hicho ni kwasababu za uhusiano mzuri na Bobwine mpizani mkuu wa dictetor m7 huyu Mama aliita Bobwine kama 'Mandele mpya wa Africa' pia Bobwine kashapigwa marufuku kuimba Uganda, sidhani nayeye inahitaji working permit kufanya kazi nchini kwake.........

Sent using Jamii Forums mobile app
mwambie kitu mtanzania akawaambie wengine kama yeye ndio alikijua mwanzo.....
Kwahii habari siwalaumu wasiofuatiliaga Tahatifa za Habari.
Huyo mama angekua team M7 hata mwaka mzima angekua anapiga show tuu na Ashukutu Uganda Hapa angekua ana ML uhujumu uchumi na kumiliki kukundi cha uhalifu kama angemuita Tundu Lissu, Mandela Mpya Wa Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,379,792
Members 525,565
Posts 33,756,729
Top