Yusuf Manji yuko wapi?

Kweli aisee,walikosea Sana.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kumbe huyu jamaa alikuwa fisadi eenhh??,hebu tupe ubuyu.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Shida nini mkuu??,Tueleweshane.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Ok!!!, Kumbe jamaa ni wanyonyaji.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Baada ya mwendazake kumbambikia kesi ili amfunge na kupora pesa zake nyingi sana aliamua kwenda USA. Nadhani huyu atakuwa watu wa mwanzo mwanzo kubambikiwa kesi na kuporwa mabilioni yake.Tusubiri tuone kama atarudi au ndio katupa jongoo na mti wake.
Km Kweli alikuwa fisadi Bora abaki huko huko,lkn km alikuwa mtu Safi namuombea arudi tena Bongo.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Rostam je??

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni moja ya watu Wapuuzi kabisa na hamfatilii mambo kwa kina bali mnakurupuka tu

Manji alikuwa bingwa wa kufanya lobbying akishirikiana na baadhi ya watendaji wa Serikali wasio waadilifu
Hili swala hata Marehemu Dr Mengi alishaliweka wazi kabisa mchana kweupe kuhusiana na upuuzi wa Manji na namna anavyohujumu nchi, lakini Wapuuzi na malofa wachache kama nyinyi ambao hamfatilii mambo ndio mnashoboka

Fatilieni mambo mjue kwa kina

Mara mía muwekezaji Mzungu anaekuibia dhahabu na almasi lakini Staff affairs zipo ktk standard ya hali ya juu, yaani mzungu anajua ku-take care wafanyakazi wa kampuni yake kwa daraja la juu sana lakini sio hawa gabacholi au wachina
 
WAFANYABIASHARA WAIKIMBIA DAR ES SALAAM.

Mbunge wa Ilala Mussa Zungu amesema biashara katika jiji la Dar es salaam, zimekufa na wafanyabiashara wanaondoka kwenda nchi nyingine kufanya biashara kwa sababu wanashindwa kupita kwenye barabara katikati ya mji.
#MwanzoTV https://t.co/x6llTMY68w Sawa mwerevu, ila Serikali yenu inakurupuka sana, yaaani rohombaya siku zote haijengi, ndio maana mnakufa maskini kutokana na rohozenu mbayaa, na je hao matajiri wengine wanaoondoka inakuaje?
 
WAFANYABIASHARA WAIKIMBIA DAR ES SALAAM.

Mbunge wa Ilala Mussa Zungu amesema biashara katika jiji la Dar es salaam, zimekufa na wafanyabiashara wanaondoka kwenda nchi nyingine kufanya biashara kwa sababu wanashindwa kupita kwenye barabara katikati ya mji.
#MwanzoTV https://t.co/x6llTMY68w
 
Mimi ningechagua hiyo ya laki moja kwa siku. Kumbe alikuwa anawalipa vizuri tu wafanyakazi wake!
Kuna mijitu mkuu rohombaya sana, ndio maana maisha yanakufa maskini kutokana na tamaa zao za kipumbavu
 
Manji aliyenunua Mbaazi za wakulima kule Lindi na Mtwara 2000+ kwa kg . Baada ya kubambikiwa kesi Mbaazi zikawa Tzs 150 kwa kg. Ni mwekezaji mwenye akili kuliko Mwendazake.

Mwendazake aliyepora Korosho na zikaoza mikononi mwake na kushindwa kutafuta soko la Mbaazi za wakulima kwa bei ileile Bora katangulia Mbwa mara zote hawezi kuishi kuliko binadamu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…