Yuko wapi Aboubakar Mchagga mtaalam wa kupika pilau Dar es Salaam?

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,720
10,220
Swalama ndugu zanguni?
Huyu mwamba anapika sana pilau, sijui kwa sasa yuko wapi?

Mwanzo alikuwa soko la Kibasila Kariakoo. Soko lilipovunjwa kupisha mradi wa Reli ya SGR akahamia Suwata.

Sasa Suwata pamevunjwa sijui kahamia wapi huyu mjuzi wa mapilau nyama na kachumbari iliyochangamka?
 
Zile nyama huwa anatoa wapi ?maama unapata pande la nyama kama lote,nimekula mara kadhaa akiwa kibasila miaka kadhaa iliyopita
 
Hata mimi nakumbuka akiwa Kibasila na hata Suwata nilikuwa namwagiza dereva wangu mahotpot, hasa nikitembelewa na rafiki yangu Jemima na boyfriend Eliya enzi hizo kabla hawajaoana
 
Swalama ndugu zanguni?
Huyu mwamba anapika sana pilau, sijui kwa sasa yuko wapi?

Mwanzo alikuwa soko la Kibasila Kariakoo. Soko lilipovunjwa kupisha mradi wa Reli ya SGR akahamia Suwata.

Sasa Suwata pamevunjwa sijui kahamia wapi huyu mjuzi wa mapilau nyama na kachumbari iliyochangamka?
Alikua mchaga au
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom