Yusuf Manji yuko wapi?

Yusuf Manji alionewa sana na Shujaa wa Mazezeta
Miongoni mwa mambo yanayopunguza ajira kwa vijana ni kama hayo, kwann Serikali inafikia kuwabana watu muhim kama hawa ambao ni miongoni mwa wanaozalisha ajira kwa vijana wengi wa kitanzania, kwann Serikali haifkirii mawazo positive ya kuwatunza matajiri kama hawa ili ipate vyanzo vizuri vya kupata kodi ili mapato ya taifa yaongezeke? inaonyesha walichomfanyia huyu jamaa wamekurupuka
 
Darwin alishasema
 
Yusuf Manji alionewa sana na Shujaa wa Mazezeta
Siku zote uwa sikubaliani na sera za CCM hasa masuala ya uwekezaji,sikukubaliana hasa na sera na mtazamo wa mwendazake JPM.

Ila kwa suala la wawekezaji aina ya Manji,nilimuunga mkono sana JPM,
Manji hakuwa mwekezaji bali alikuwa ni fisadi hasa,akishirikiana na baadhi ya watendaji wa serikali,watendaji wa chama cha CCM na baadhi ya viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wasio waaminifu.

Ni vile watanzania wengi ni wavivu wa kusoma na kufatilia taarifa za nchi yao,Manji alikuwa ni muhuni tu.
 
Wapinzani mnamtamani kanji Tena!!😄😄 Tuna upinzani wa kipuuzi Tz Zaid ya Africa nzima.

Yani leo mnamtamani muwekezaji Aina ya manji????

Binafsi kwangu muwekezaji kutoka Asia Ni mwarabu tu baada ya mzungu.
Wengine wote janja janja tu,akawekeze nchi zingine hukooo na si uwekezaji wa namna ya wahindi/wapakistan Hawa waliopo Africa.
Mpaka kichefuchefu
 
Miongoni mwa mambo yanayopunguza ajira kwa vijana ni kama hayo, kwann Serikali inafikia kuwabana watu muhim kama hawa ambao ni miongoni mwa wanaozalisha ajira kwa vijana wengi wa kitanzania, kwann Serikali haifkirii mawazo positive ya kuwatunza matajiri kama hawa ili ipate vyanzo vizuri vya kupata kodi ili mapato ya taifa yaongezeke? inaonyesha walichomfanyia huyu jamaa wamekurupuka
Ajira au upuuzi tu,we mtu alipwe laki moja au elfu3 kwa siku ndo unaona ajira hyo?
Na mdegree wako unaenda kupewa laki na nusu??
Eti engineer analipwa laki mbili na tisini.

Hebu angalieni wazungu/warabu/waturuki wanalipaje na si hao makabachori wanaoundaga urafiki na viongozi wa serikali ili wapige
 
Wapinzani mnamtamani kanji Tena!! Tuna upinzani wa kipuuzi Tz Zaid ya Africa nzima.

Yani leo mnamtamani muwekezaji Aina ya manji????

Binafsi kwangu muwekezaji kutoka Asia Ni mwarabu tu baada ya mzungu.
Wengine wote janja janja tu,akawekeze nchi zingine hukooo na si uwekezaji wa namna ya wahindi/wapakistan Hawa waliopo Africa.
Mpaka kichefuchefu
Wewe umewekeza nini?.Acha dharau za kiboya.
 
Mzee wa siongei na mbwa naongea na mfuga mbwa, hahaha maisha bwn ni kitendawili
Siku zote uwa sikubaliani na sera za CCM hasa masuala ya uwekezaji,sikukubaliana hasa na sera na mtazamo wa mwendazake JPM.

Ila kwa suala la wawekezaji aina ya Manji,nilimuunga mkono sana JPM,
Manji hakuwa mwekezaji bali alikuwa ni fisadi hasa,akishirikiana na baadhi ya watendaji wa serikali,watendaji wa chama cha CCM na baadhi ya viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wasio waaminifu.

Ni vile watanzania wengi ni wavivu wa kusoma na kufatilia taarifa za nchi yao,Manji alikuwa ni muhuni tu.
 
Wapinzani mnamtamani kanji Tena!!😄😄 Tuna upinzani wa kipuuzi Tz Zaid ya Africa nzima.

Yani leo mnamtamani muwekezaji Aina ya manji????

Binafsi kwangu muwekezaji kutoka Asia Ni mwarabu tu baada ya mzungu.
Wengine wote janja janja tu,akawekeze nchi zingine hukooo na si uwekezaji wa namna ya wahindi/wapakistan Hawa waliopo Africa.
Mpaka kichefuchefu
Unayajua makampuni ya Manji Tz?
 
Baada ya mwendazake kumbambikia kesi ili amfunge na kupora pesa zake nyingi sana aliamua kwenda USA. Nadhani huyu atakuwa watu wa mwanzo mwanzo kubambikiwa kesi na kuporwa mabilioni yake.Tusubiri tuone kama atarudi au ndio katupa jongoo na mti wake.
Huyu Tajiri Yusuf Manji yuko wapi siku hizi, je kampuni zake zinaendelea kutoa ajira kwa vijana?
 
Bado mi nyumbu haitakuelewa..
Siku zote uwa sikubaliani na sera za CCM hasa masuala ya uwekezaji,sikukubaliana hasa na sera na mtazamo wa mwendazake JPM.

Ila kwa suala la wawekezaji aina ya Manji,nilimuunga mkono sana JPM,
Manji hakuwa mwekezaji bali alikuwa ni fisadi hasa,akishirikiana na baadhi ya watendaji wa serikali,watendaji wa chama cha CCM na baadhi ya viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wasio waaminifu.

Ni vile watanzania wengi ni wavivu wa kusoma na kufatilia taarifa za nchi yao,Manji alikuwa ni muhuni tu.
 
Wapinzani mnamtamani kanji Tena!! Tuna upinzani wa kipuuzi Tz Zaid ya Africa nzima.

Yani leo mnamtamani muwekezaji Aina ya manji????

Binafsi kwangu muwekezaji kutoka Asia Ni mwarabu tu baada ya mzungu.
Wengine wote janja janja tu,akawekeze nchi zingine hukooo na si uwekezaji wa namna ya wahindi/wapakistan Hawa waliopo Africa.
Mpaka kichefuchefu
Angalau yeye kaajiri watanzania je ww umechangia nn kama mtanzania katika taifa hili badala ya kutujazia mavi kwenye ardhi yetu kupelekea magonjwa kama corona na kipindupindu?
 
mara ya mwisho nasikia alichenjiwa na jibwa la mtu fulani akala kona!

ila nina imani atarudi tu, mbwa haishi kuliko mwanadamu siku zote!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom