Yupo wapi mwanadada huyu Makini wa kitengo nyeti?

psu2.JPG
Ungeweka na kapicha
PSU.JPG
 
Habari wanajukwaa wa siasa.

Kuna Dada moja makini sana alikuwa ktk safu ya ulinzi wa Rais Kikwete ktk siku zake za mwishomwisho wa Urais. Baadae pia alionekana akiwa na Rais Magufuli ktk siku zake za awali za urais.

Baadae alipotea ghafla na haonekani tena ktk safu ya ulinzi wa Kiongozi Mkuu. Sijui kaenda kusoma au? Binafsi nilikuwa namkubali sana na niseme tu nimemmisi sana jasusi huyu.

Enzi za Gadafi wanawake ndiyo humlinda Rais kwani inadaiwa huwa ni Makini kuliko wanaume. Kumbukuka walinzi wake maarufu kwa jina la Amazonian Girls.
KWANI MANGE KASEMAJE KUHUSU WALINZI WANAOMLINDA MKOLOMIJE SI KUTOKA RWANDA AU KASEMAJE KWANI MANGE?
 
Hivi kama Rais kweli anapendwa na watu kwa nini awe na ulinzi mkali na anajinasibu anapendwa
Kule Norway kuna kiongozi mkubwa wa serikali alipendwa na wananchi hadi akaamua kusema haitaji kulindwa tena na akawa anatembea hata kwa miguu mjini bila walinzi. Cha ajabu wananchi haohao wampendao walimtwanga risasi.
 
Back
Top Bottom