Yupo wapi mwanadada huyu Makini wa kitengo nyeti?

Yupo wapi mwanadada huyu Makini wa kitengo nyeti?

Habari wanajukwaa wa siasa.

Kuna Dada moja makini sana alikuwa ktk safu ya ulinzi wa Rais Kikwete ktk siku zake za mwishomwisho wa Urais. Baadae pia alionekana akiwa na Rais Magufuli ktk siku zake za awali za urais.

Baadae alipotea ghafla na haonekani tena ktk safu ya ulinzi wa Kiongozi Mkuu. Sijui kaenda kusoma au? Binafsi nilikuwa namkubali sana na niseme tu nimemmisi sana jasusi huyu.

Enzi za Gadafi wanawake ndiyo humlinda Rais kwani inadaiwa huwa ni Makini kuliko wanaume. Kumbukuka walinzi wake maarufu kwa jina la Amazonian Girls.
Sasa hivi huyu jamaa analindwa na walinzi kutoka kwao
 
IMG_20180313_211203.jpg
 
mkuu alifanya nini??sasa si wengine hao watu wa jumba jeupe tunawapataje??
kumbe hawa watu wanapiga kazi eeehh!! mi nnawachukuliaga poa ujue..
Wengine ni usalama wa kuingiza michepuko kwa wakuu anatumwa tu leta wema sepetu au kidoti mambo yanaenda uongozi raha asikuambie mutuuu
 
Sisi tunapenda kumwita sister ndo jina lililozoeleka, ni mtu hodari na mcheshi Sana. Kuna kitu nafanya ntakuja Tena humu
 
Nenda pale Knyama getini ulizia watakujibu au karibu Mbweni
Au ingia hapa MITAA YA ST P
Au pale jirani na Agakani

Au bado hijui jina lake....
Ukimkosa nenda Mjengon pale Ddm

Na uwe na Maelezo yakutosha....na Sababu za kumuulizia

Angalia....ucje ukauliza BS8 alipo....
Au ukauliza chumba cha kulala wahaini....
Angalia usije ukaokotwa comoros

Uwe makini na maswali yako
Walinzi huamishwa vituo au kupangiwa majukumu Mengine....
Sasa naona umefurahi.
Kuna huu mtindo wa kukuwekea kale kadungu ka moto mwanamme mzima unakuwa wakojoa tu mfululizo.

Kale kadungu hatari sana.
 
Back
Top Bottom