Yupo wapi mwanadada huyu Makini wa kitengo nyeti?

Yupo wapi mwanadada huyu Makini wa kitengo nyeti?

Ilikuwa ni Sweden. Waziri mkuu wao aliyeitwa Olof Palme. Aliuwawa na mabeberu waliopinga msimamo wake wa kusaidia harakati za ukombozi kusini mwa afrika miaka ile. Aliuwawa jijini Stockholm akitoka kuangalia sinema yeye na mkewe bila walinzi.
Shukurani kwa masahihisho.
 
Kule Norway kuna kiongozi mkubwa wa serikali alipendwa na wananchi hadi akaamua kusema haitaji kulindwa tena na akawa anatembea hata kwa miguu mjini bila walinzi. Cha ajabu wananchi haohao wampendao walimtwanga risasi.
Kwani kua na walinzi kuna zuia kutwangwa risasi. Watu hawajaamua tu mbona mlaini sana
 
Daaah... mama junior wangu weeeeeee...mpaka JF wanakukumbuka...basi sawa...safari sio kifo ntarudi
 
IMG_5422.JPG
az4.jpg
 
Alifanya tukio moja la kishujaa sana, waulize watu wa jumba jeupe wakusimulie.
mkuu alifanya nini??sasa si wengine hao watu wa jumba jeupe tunawapataje??
kumbe hawa watu wanapiga kazi eeehh!! mi nnawachukuliaga poa ujue..
 
Nenda pale Knyama getini ulizia watakujibu au karibu Mbweni
Au ingia hapa MITAA YA ST P
Au pale jirani na Agakani

Au bado hijui jina lake....
Ukimkosa nenda Mjengon pale Ddm

Na uwe na Maelezo yakutosha....na Sababu za kumuulizia

Angalia....ucje ukauliza BS8 alipo....
Au ukauliza chumba cha kulala wahaini....
Angalia usije ukaokotwa comoros

Uwe makini na maswali yako
Walinzi huamishwa vituo au kupangiwa majukumu Mengine....
Sasa naona umefurahi.

kwa tunaojua... kwa lugha na maelezo yako uliyotumia tumegundua kuwa unajua na unaweza ukawa mwanachama wa kampuni...heheheh

nategemea kuja mzena hapo tutakutana mkuu hahahah
 
Back
Top Bottom