Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,825
Hivi Wabunge wanaapishwa kiholela ama wanaapishwa bungeni(kwenye vikao vya Bunge)?...Asalaam wote humu ndani,
Jamani huyu mbunge mteule ndugu Mtulia yupo wapi? Mbona tangua atangazwe mshindi hajaonekana? Mbona hajaapishwa?
Wenye taarifa zake mje hapa tafadhali.
Ni kweli anaumwa sana. Ana bleed kama mwanamke katika siku zake.Nimeona uzi umefutwa unsema anakimbizwa hosp
Why virgin???Miaka ya nyuma kule kijijini kwetu ilikua ukitaka kutoa laani kali itakayoteketeza ukoo au hata kizazi kwa laana hiyo. Walkkua wanamtoa kafara binti ambaye ni bikira. I guess that binti ataondoka kama sio watu basi kizazi cha watu fulani
Sasa siku zikikata si ataingia kwenye trh za hatar za kushika mimba?Ni kweli anaumwa sana. Ana bleed kama mwanamke katika siku zake.
Nasika ana bleedYuko kwao Rufiji...wamemficha ...sasa hivi mtulia siyo yule anayemjua sahiv analia peke yake mda mwingine wanamkuta anacheka peke yake ...kaenda kupewa matambiko kwao rufiji.
Anavaa Always kama sisi dada zake na anacheka mwenyeweNimepitwa na mengi..kafanyaje huyu bwana?
Naye ishampata, sikiliza maneno take siku hizi, hayana vina wala mizani.DAMU YA BINTI MBICHI MREMBO YULE INAMLILIA... AKFANYA MZAHA WANAWEZA KUKUTANA.. MTOTO MDOGO KAMA YULE KAFA KWA UZEMBE WA MTULIA KWA SABABU ANGEENDELEA NA UBUNGE WAKE HATA KAMA ANGEAMUA KUTOIKOSOA SERIKALI, ANGEOKOA KODI ZETU NA DAMU YA AKWILINA
Acheni uzushi jamani mbona nilikuwa naye Leo?
Kama sisi dada zakeNasika ana bleed
Humuoni Komando baada ya kudhulumu ushindi wa CUF amekuwa kipofuWazanzibar ni hatari sana ! kitu kimejibu !
hahahaKama sisi dada zake
hizi porojo za bavicha sijui zitakwisha lini. mara zote tu wanaishi katika speculations, no concrete facts.