Yupo wapi member johnthebaptist???

Yupo wapi member johnthebaptist???

ni matumaini yangu huyo muungwana yupo anaendelea na mishe zake kama kawaida, na kama mTanzania mwingine yeyote yule nje ya JF. Na kwa vile alijiunga JF kwa uhuru na hiyari yake na kwa bando lake, nadhani pamoja na mabadiliko au sababu nyingine zozote zile za kikazi, kiuchumi au kimaisha, bado muungwana ana uhuru na hiyari ya kupumzika kutumia JF au kuacha kabisa na kuendelea na maisha mengine.

hakuna haja ya kua na negative perceptions juu yake, wala kujenga narratives au theories za kujaribu kuatract public sympathy isiyo na maana yoyote jukwaani. Lakini pia, ni muhimu sana kuepuka kuwachafua na kupotosha wadau wa JF dhdi ya membaers wengine muhimu na wa heshima sana JF, hasa wasiojua wala kuhusika na chochote kuhusu mdau alietajwa kutokuonekana jukwaani kitambo.

Kama waTanzania ni muhimu kupendana kama jamii moja, na kukubaliana kutofautiana kwa amani na itapendeza zaidi.

Otherwise,
nashauri kuishi na watu vizur nadani na nje ya JF:NoGodNo:
Umemaliza kila kitu na sina cha kuongezea
 
Back
Top Bottom