Yupo wapi Kanali Fabian Massawe?

Naam aliifanya shule kuwa na nidhamu iliyotukuka kwa maana kwa baadhi ya wanafunzi walishashindikana huko walipotoka ila pale walinyooka..
Na ujue alifanya kazi kubwa baada ya kuondoka tuu shule iliyumba sana na matokeo yakaanza kuporomoka kwa kutisha
na pale yeye alikuwa hajali kama wewe ni mtoto wa mkubwa wala nini
Ni mwendo wa nidhamu na usmart
 
Vimeo walikuwa wengi si unajua watoto wa wakubwa wa serikali wengine wakubwa wa jeshi
Usiseme viboko maana Bwenge katuchapa sana na Bashaka aise
Wacha zile pushup za wanajeshi
Wacha lile gwaride la kukaribishwa
Hivi Bwenge yupo wapi siku hizi au alirudi kwao Karagwe?
 
Labda atakuwepo huko kijijini kwao Kifuni Juu Kata ya Umbwe, Kibosho magharibi akipata kinywaji cha asili mbege!! Napendekeza afikiriwe kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa, ni mtu wa watu kwa kweli! Kidaa Saaa! Aikambeee!!
Acha urongo wewe hakuna kata ya umbwe Bali kijiji cha umbwe
 
Col massawe kilichompoteza kwenye siasa wakat akiwa RC Kagera alikuwa anachochea ugomvi wa meya anatory na kagasheki kipindi kile sasa watu wakampa umbea kikwete akamtema
 
Siasa ni mchezo wa kipuuzi mno, Heri MTU kubaki na Taaluma yako tu
 
Wanajavyi
Natamani kujua alipo Kanali Fabian Massawe.Ni mmojawapo wa watu niliokuwa ninawakubali sana kwa utendaji wao..Sijui nini kilimkuta mtu huyu.ninaimani anafiti sana kwenye serikali hii ya hapa kazi tu.
Karibuni
alikuwa mla rushwa mkubwa
 
Tulikuwa nae maeneo flan ya kujinadi week iliopita tukicheza ngoma za msondo ni mzima wa afya
 
Mbona sijawasikia akina Nyanchini na Wandwe?
Enzi za Kina Mwakasege,Wandwe,Bashaka,Wajadi,Bwenge,Mwiru,Ndeha,Rite,Mosha,Magea,Mgimba(Marehemu),Jonathan,Mleli,Ntibuela,Anyitike,Shushi sijui kama wengine wanamjua huyu...
 
Enzi za Kina Mwakasege,Wandwe,Bashaka,Wajadi,Bwenge,Mwiru,Ndeha,Rite,Mosha,Magea,Mgimba(Marehemu),Jonathan,Mleli,Ntibuela,Anyitike,Shushi sijui kama wengine wanamjua huyu...
Nasikia Mosha naye ni marehemu. Kumbe Mgimba hatuko naye tena?
 
Kanali Massawe alikumbwa na kashifa kubwa ambayo haijawahi kutokea. Ashukuru Mungu ilikuwa enzi za Jakaya lasivyo angefungwa maisha yake yoote.

Ndio maana mnaona ametulia tuli. waulizeni wana Bukoba watawaambia kilichomkumba Massawe
 
Nasikia Mosha naye ni marehemu. Kumbe Mgimba hatuko naye tena?
Naam ndugu ...Mgimba alishafariki ila mosha sijapata taarifa...hii safu ya walimu wanajeshi wengi wao waliacha kufundisha na kushika nafasi nyingine kijeshi.
 
Kanali Massawe alikumbwa na kashifa kubwa ambayo haijawahi kutokea. Ashukuru Mungu ilikuwa enzi za Jakaya lasivyo angefungwa maisha yake yoote.

Ndio maana mnaona ametulia tuli. waulizeni wana Bukoba watawaambia kilichomkumba Massawe
Kashfa gani tena mkuu au ile ya kuleta jirani zetu na kwagawia mapori huko Burigi?
 
Back
Top Bottom