Yupo wapi Kanali Fabian Massawe?

Labda atakuwepo huko kijijini kwao Kifuni Juu Kata ya Umbwe, Kibosho magharibi akipata kinywaji cha asili mbege!! Napendekeza afikiriwe kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa, ni mtu wa watu kwa kweli! Kidaa Saaa! Aikambeee!!
Naunga mkono hoja
 
Mr Rocky inawezekana mkuu maana sisi ndo tulio leta mapinduzi ya ufaulu Jitegemee enzi hizo
 
Mr Rocky inawezekana mkuu maana sisi ndo tulio leta mapinduzi ya ufaulu Jitegemee enzi hizo
Mkuu kweli kabisa maana miaka yetu ufaulu ulikuw ajuu sana na Massawe alikuw amoto kuhakikisha nidhamu na kuzingatia viwango vya kuhama darasa moja kwenda jingine
 
Mkuu kweli kabisa maana miaka yetu ufaulu ulikuw ajuu sana na Massawe alikuw amoto kuhakikisha nidhamu na kuzingatia viwango vya kuhama darasa moja kwenda jingine
dah fimbo za pale zilikuwa hatari sana mkuu ila ilikuwa shule poa sana sema vimeo walikuwa wengi sana
 
dah fimbo za pale zilikuwa hatari sana mkuu ila ilikuwa shule poa sana sema vimeo walikuwa wengi sana
Vimeo walikuwa wengi si unajua watoto wa wakubwa wa serikali wengine wakubwa wa jeshi
Usiseme viboko maana Bwenge katuchapa sana na Bashaka aise
Wacha zile pushup za wanajeshi
Wacha lile gwaride la kukaribishwa
 
Ila zilitufundisha mengi sana
ile discipline ya pale na usafi na kuwa smart muda wote dah maisha ta pale yalikuwa bomba sana
Ile shule ilikuwa na kila kitu na walimu wazuri sana. Library ilikuwa na kila kitu lab poa kabisa
 
Ile shule ilikuwa na kila kitu na walimu wazuri sana. Library ilikuwa na kila kitu lab poa kabisa
masharobaro waliokuja kuingia baada ya Massawe waliiharribu sana shule na matokeo yakawa mabaya kila mwaka mpaka sasa Jitegemee ziro zinakuw anyingi haswa
Massawe alijenga msingi mzuri sana wa ile shule
 
naona wengi wanaongezeka wanaomkumbuka Fabian Massawe
Naam rocky namfahamu maasawe kitambo toka nikiwa mdogo mdingi wangu alikuwa mjeda...nimeishi miaka mingi kambini toka enzi hizo anatumia pikipiki ya Honda...sijui kama watu wengi wanafahamu hili
 
Naam rocky namfahamu maasawe kitambo toka nikiwa mdogo mdingi wangu alikuwa mjeda...nimeishi miaka mingi kambini toka enzi hizo anatumia pikipiki ya Honda...sijui kama watu wengi wanafahamu hili
Sisi tulimkuta Massawe kashakuwa mjanja ila akiwa smart sana mkuu
Maana aliiiendesha shule ile vizuri sana na kwa matokeo na nidhamu ilikuwa juu sana
 
Sisi tulimkuta Massawe kashakuwa mjanja ila akiwa smart sana mkuu
Maana aliiiendesha shule ile vizuri sana na kwa matokeo na nidhamu ilikuwa juu sana
Naam aliifanya shule kuwa na nidhamu iliyotukuka kwa maana kwa baadhi ya wanafunzi walishashindikana huko walipotoka ila pale walinyooka..
 
Wanajavyi
Natamani kujua alipo Kanali Fabian Massawe.Ni mmojawapo wa watu niliokuwa ninawakubali sana kwa utendaji wao..Sijui nini kilimkuta mtu huyu.ninaimani anafiti sana kwenye serikali hii ya hapa kazi tu.
Karibuni
Mmmmhh yani katka viongozi nsiowakubali ni huyo mtajwa..cjui yukoje yeye anachekacheka tuu hajawah kuwa na sura ya kazi....in short cjawah one kiongozi m bovu kama huyo

[HASHTAG]#bolahajateuliwatena[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom