Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Msiba kuwa mbezi beach haina maana kwamba alifia nyumbani. Mzee RIP Apson ni jirani yangu hapa mbezi beach siongei vitu kwa hisia tu.Nimeamini JF Kuna watu waongo wanatulisha matango pori, Yule Mzee umauti umemkuta nyumbani kwake Mbezi Beach daraja la Apson na nyumba ya Masaki alikua ni jirani yangu aliishi kidogo sana na aliuza long time akaenda mbezi beach Mpaka mauti yanamkuta
Mwandosya na Apson wapi na wapi
View attachment 2087223
Msiba kuwa mbezi beach haina maana kwamba alifia nyumbani. Mzee RIP Apson ni jirani yangu hapa mbezi beach siongei vitu kwa hisia tu.
Alikuwa rafiki ya baba yangu enzi za uhai wake akija nyumbani kwetu. Ninapoishi ni hatua kama mia moja hivi kutoka nyumba yake ilipo.
Ni upande huu kama unaelekea maghorofa ya BOT kushoto kwako njiani. Kama wewe ni mwenyeji utakuwa unaikumbuka car wash iliyokuwa kushoto kwako kama unatokea white sands ukishavuka daraja, kile ni kiwanja changu.
Marehemu Apson baada ya JK kuingia ikulu aliondolewa na watu wa usalama akapelekwa Masaki. Sikulazimishi ukubaliane na maneno yangu, lakini huo ndio ukweli.Alifia South Africa na Aliishi hapo hapo mbezi beach hacha ubishi , uongo na ujuaji
Ulisema aliamia oyster bay moja kwa moja Mpaka mauti yanamkuta kumkimbia Jk Mara Jirani yako Mbezi beach umebadilisha upepo 😢😢😢
Rafiki wa baba yako hamjui alipoishi, shame😪😪😪😪😪
Marehemu Apson baada ya JK kuingia ikulu aliondolewa na watu wa usalama akapelekwa Masaki. Sikulazimishi ukubaliane na maneno yangu, lakini huo ndio ukweli.
Masuala mengine ni ya kiusalama huwezi ukafunguka kwenye jukwaa la jamii kama hili.
Wewe hunijui huwezi kuniita muongo. Marehemu Mzee Apson ni jirani yangu hapa mbezi beach, mzee wangu alihamia mwaka 1995 baada ya kutoka nyumba ya serikali kule katikati ya jiji.Wewe ni Muongo muongo ulitaka kuleta ujuaji wa story za vijiwe vya kahawa nimekuwekea facts umebadilisha upepo huko juu umeabdika Apson hakuludi nyumbani kwake Mpaka mauti Apson Jirani yangu Aosin rafiki wa baba hacheni kupotosha
Next time Kama kitu haujui sio lazima uchangie pita kimya au weka emoji
Wewe hunijui huwezi kuniita muongo. Marehemu Mzee Apson ni jirani yangu hapa mbezi beach, mzee wangu alihamia mwaka 1995 baada ya kutoka nyumba ya serikali kule katikati ya jiji.
Ninamfahamu mpaka siku anafariki. Alifia masaki msiba ukahamishwa hapa mbezi beach. Ninachangia kwa sababu ninamfahamu mpaka watoto wake.
Kwa taarifa yako Tom kasoma na mimi shaban robert alimaliza secondary 1990 mimi nilimaliza 1991. Yule mdogo wake anayeishi hapa mbezi alikuwa ananunua maziwa nyumbani kwetu. Ni watu wa karibu sana na familia yetu kuliko unavyodhania.
Tukimtafuta biggie Tom tukamuuliza atatuambia wewe ni nani na kwa sasa upo wapi. Ngoja tumtafute mh DC wa Hai.Wewe hunijui huwezi kuniita muongo. Marehemu Mzee Apson ni jirani yangu hapa mbezi beach, mzee wangu alihamia mwaka 1995 baada ya kutoka nyumba ya serikali kule katikati ya jiji.
Ninamfahamu mpaka siku anafariki. Alifia masaki msiba ukahamishwa hapa mbezi beach. Ninachangia kwa sababu ninamfahamu mpaka watoto wake.
Kwa taarifa yako Tom kasoma na mimi shaban robert alimaliza secondary 1990 mimi nilimaliza 1991. Yule mdogo wake anayeishi hapa mbezi alikuwa ananunua maziwa nyumbani kwetu. Ni watu wa karibu sana na familia yetu kuliko unavyodhania.
Wewe Ndio hujui kitu unaendekeza ligi zisizo na msingi.Kweli napoteza muda kubishana na Kilaza mjuaji kafia Masaki tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hachana na hiyo familia ya watu hauifahamu hata kidogo
Mtafute tu bro/sisTukimtafuta biggie Tom tukamuuliza atatuambia wewe ni nani na kwa sasa upo wapi. Ngoja tumtafute mh DC wa Hai.
Aliondoka hapa baada ya 2005 JK alimhamisha na akafia masaki.Mkubwa Philip unasema ile showroom iko kushoto ukivuka daraja opposite na Baa mpya ya Toptank ni Kiwanja chako. Tajiri mbona unalala ungeingia joint venture pale ukashusha mjengo wa maana kuliko car wash.
Mimi inaonekana yuko sahihi zaidi haswa kwa kusema Marehemu huyo director alikuwa akiishi sana hapo kwake Mbezibeach. Maana mzee alipenda sana kwenda ATM za shoppers. Mzee alipenda sana wananchi hakujikweza.
Cha kuchekesha hapa watu wanabishana mtu kafia wapi. Au ni katika kutuzuga?
Wana haribu ubora wa JF.
Uuuwiii wewe kiboko aisee, taarifa yako haiko sahihi kabisa. marehmu hana mtoto aliye soma Shaban Robert ,hajawahi ishi Masaki ,ila alikuwa na Mtoto aliye ishi Masaki , labd umchsnganya , ulivyo sikia jina Apson in Masaki ukadhani ni mzee mwenyewe .Wewe hunijui huwezi kuniita muongo. Marehemu Mzee Apson ni jirani yangu hapa mbezi beach, mzee wangu alihamia mwaka 1995 baada ya kutoka nyumba ya serikali kule katikati ya jiji.
Ninamfahamu mpaka siku anafariki. Alifia masaki msiba ukahamishwa hapa mbezi beach. Ninachangia kwa sababu ninamfahamu mpaka watoto wake.
Kwa taarifa yako Tom kasoma na mimi shaban robert alimaliza secondary 1990 mimi nilimaliza 1991. Yule mdogo wake anayeishi hapa mbezi alikuwa ananunua maziwa nyumbani kwetu. Ni watu wa karibu sana na familia yetu kuliko unavyodhania.
Hivi huyu Tom ndiye alikuwa mmewe yule Mbunge wa viti maalum Neema Rugangila?Nimeamini JF Kuna watu waongo wanatulisha matango pori, Yule Mzee umauti umemkuta nyumbani kwake Mbezi Beach daraja la Apson na nyumba ya Masaki alikua ni jirani yangu aliishi kidogo sana na aliuza long time akaenda mbezi beach Mpaka mauti yanamkuta
Mwandosya na Apson wapi na wapi
TANZIA - Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini
Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Apson Mwang’onda (75), amefariki dunia leo Oktoba 7, nchini Afrika Kusini alikokuwa anatibiwa, familia yake imethibitisha. Rais Magufuli akimjulia hali Apson Mwang'onda hospitalini enzi za uhai wakewww.jamiiforums.com
View attachment 2087223
Msiba haukuwa hapa Mbezi Beach kwa taarifa yako baada ya Kikwete kuingia Ikulu Mzee Apson akahamishiwa huko Oysterbay na hii nyumba yake ya hapa Mbezi beach ikabomolewa yote na ikajengwa upya.Uuuwiii wewe kiboko aisee, taarifa yako haiko sahihi kabisa. marehmu hana mtoto aliye soma Shaban Robert ,hajawahi ishi Masaki ,ila alikuwa na Mtoto aliye ishi Masaki , labd umchsnganya , ulivyo sikia jina Apson in Masaki ukadhani ni mzee mwenyewe .
Kuhusu ununuzi wa maziwa , wafanyakazi wote wa Idara walikua wanapata maziwa toka PSU ambako kulikuwa na Ng'ombe wa kufugwa wa maziwa na walikua wanaletew majumbani , hivyo hilo sio sahihi kwamba walikua wana nunua maziwa kwenu .
Mzee alihama Mbezi beach baada ya muda kustaafu kwa matakwa yake mwenyewe na kuhamia Laibon St, Oysterbay na sio Masaki , nyumba ambayo iko opposite na nyumbani kwa Rostam Azziz , ambako aliishi hapo na baadae aka rudi kuishi Mbezi Beach .
Hakua na bifu na JK, sababu Mzee aliomba ku stafu mwenywe na JK alimuomba aendelee lakini mzee akakubali na kuomba angalau akae kwa miezi 6 tuu . JK ni kiongozi aliye weza mtembelea Marehemu hospitali zaidi kuliko wengine kumjulia hali na kwenye Msiba JK alishiriki na ali toa hotuba kwnye ibada ya mazishi hapo St Peters.
Marehemu alifariki nchini South Adfrica mjini Pretoria, hakufariki Masaki kama unavyo sema na msiba ulikuwa hapo nyumbani kwake Mbezi Beach ambako ndio alikua anaishi . hiyo ndio usahihi .
Msiba haukuwa hapa Mbezi Beach kwa taarifa yako baada ya Kikwete kuingia Ikulu Mzee Apson akahamishiwa huko Oysterbay na hii nyumba yake ya hapa Mbezi beach ikabomolewa yote na ikajengwa upya.
Wakati anafariki nyumba hii ilikuwa bado haijamalizika kujengwa upya. Humjui Apson lakini umejitutumua uonekane unamjua. Mtoto wa marehemu ambaye kwa sasa ni mkuu wa wilaya moja huko kaskazini alisoma Shaban Robert na alimaliza form four mwaka 1990 mimi nilimaliza mwaka 1991 hapo hapo Shuleni.
Mdogo wa huyo mkuu wa wilaya anaishi hapa mbezi beach mpaka leo hii, na ndio alikuwa akinunua maziwa nyumbani kwetu, kama unaifahamu vyema mbezi beach ni huu mtaa ukitoka darajani ambapo ni maarufu kwa apson ukiwa unaelekea maghorofa ya BOT kushoto kwako ni mtaa wa pili, ukishamaliza ilipo saloon mpya kile kiwanja cha marehemu Otata unakunja kushoto mbele ya mafundi ya bajaji na bodaboda.
Nyumba ipo upande wa kulia mbele kidogo ya kibanda wanachoonyesha mipira ya ligi kuu ya TZ.
Mzee kama unanibishia kuwa Tom Apson hakumaliza Shaban Robert 1990 naona kama tunapotezeana muda tu. Mimi nilimaliza pale pale 1991, ninao uhakika na ninachokuambia.Kuanzia leo nitakuwa siamini kila ninacho kisoma, mtandaoni sababu kuna watu huwa wana weza aminisha watu habari zisizo sahihi kabisa , ni kuulize , ulikuwepo msibani , ibada ili fanyika wapi na je alizikwa wapi ? , kwa kweli unanifurahisha kwa jinsi ulivyo na taarifa zisizo sahihi .
Labda nikusaidie kwa mara nyingine, kwa maana ya kwamba kama ulikuwepo msibani na wewe ni jirani yao umeshindwa vipi kujua msiba ulikuwa pale mbezi Beach ?
Pili mwanae aliye mkuu wa Wilaya nadhani ni Moshi au Arusha sina uhakika ni wilaya ipi , inakuaje amalize form four 1990 wakati ni mkubwa kushinda mimi ambaye nime maliza for four 1990 , tena unavyo nishangaza nime soma naye primary school na alikuwa darasa la juu yangu ? tena nafahamu secondary alisoma shule ya serikali na sio Private .
Hauna taarifa sahihi , ila unijibu tu ulikuwepo msibani na kama ulikuwepo na haikuwa ni Mbezi Beach je, ulikuwa wapi na mtaa gani ?
Mbona amefariki Sikh nyingi mkuuHabari wana JF.
Niende kwenye mada hapo juu.
Apson Mwang'onda ni mmoja wa DG wa TISS hapo zamani. Anakumbukwa baada ya kustaafu alikuwa team Lowassa akiwa mwanamikakati wa kumsaidia kuusaka urais kupitia CCM.
Hata hivyo wajuvi wanadai alikuwa kule kwa Lowassa kimkakati kwa ajili ya kazi maalumu ambayo aliifanikisha na kuhitimisha June 2015.
Yupo wapi mtu huyu?