Yupo wapi Innocent Sahani maarufu kama D Knob?

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
26,023
2,000
Amezeeka saivi. Namwonaga pale grand nolasko anafanya shoo mpaka za bia nne. Roho inaniumaga sana
Nafikiria makubwa,

Nataka kuacha ujuba,

Jinsi nilivyo watu wote wanashangaa,

Akili mali (mali)

Mwanzo mkali na mwisho mkali,

Mwanga njoo gizani upate discipline,

Dah hata sikumbuki kama ndiyo verse ziko hivyo hivyo ila kipindi hicho msanii yeyote ana chansi ya kusikika haijalishi anatokea kundi gani.

Hakuna stori za utimu.
 
benruby

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
282
500
Mwamba ulimchukulia mpenzi wake siku moja ,akamwambia leo tukafunge ndo,hakuna cha maandalizi Wala nini,na ndugu zake akawapigia simu ,akawajulisha anafunga ndoa siku hiyo,baada ya ndoa akawachukua washikaji zake kama watatu wakaenda bar kunywa,hana bwembwe
Ilikuwa Bill's hyo kabla ya kuvunjwa,alienda siku ya kwanza Pastor kamwabia lazma mpate mafundisho kabla ya ndoa,hyo ndio ilifanya ndoa isifungwe kwa siku hyo hivyo akarudi na kuanza mafunzo na hapo ndipo mshua wake alipopewa taarifa akamwambia endelea na ulichokifikiria.
Innocent Sahani a.k.a Dirty Knob kufupisha muite D knob kutoka FDC (Free Dog's Camp)
Cc Pig Black,Ommy G(gangster)
 
Hardbody

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
2,651

Aisee
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
43,391
2,000
Ilikuwa Bill's hyo kabla ya kuvunjwa,alienda siku ya kwanza Pastor kamwabia lazma mpate mafundisho kabla ya ndoa,hyo ndio ilifanya ndoa isifungwe kwa siku hyo hivyo akarudi na kuanza mafunzo na hapo ndipo mshua wake alipopewa taarifa akamwambia endelea na ulichokifikiria.
Innocent Sahani a.k.a Dirty Knob kufupisha muite D knob kutoka FDC (Free Dog's Camp)
Cc Pig Black,Ommy G(gangster)
D Knob hajawahi kuwa FDC, ni mtoto wa kiwalani kama hao FDC ambao ni Pig Black, Ommy G na Nalenale.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom