Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,379
- 31,974
Alipoanza kufanya uproducer huku akiwa ndani ya kipindi cha showtime akaanza kiharibu kwa kupendelea nyimbo za wasanii wake. Ila aliibua vipaji vya iringa toka kwa producer ambha vilikuwa vikali sana.Yes! Ni mkuu wa vipindi pale!