Yupo wapi Glory Robinson mtangazaji wa Redio Free Africa?

Yupo wapi Glory Robinson mtangazaji wa Redio Free Africa?

Ipo hivi Glory alianza kazi Arusha wakiwa na Gadner G Redio Mawingu (Clouds) kipindi hicho way back hao madogo akina Fetty na B12 wakiwa bado watoto wa sekondari walikuwa wakienda pale studio kuwaomba akina Gadner na Glory wawape nafasi ya kuwa watangazaji .. Ndio maana ata Fetty alikuwa akimuiga mtoto wa mama sabuni. Baadae alihamia Mwanza pale Ilemela kwa mzee Diallo ambaye ata hivyo apendi mabadiliko yaani he is concervative . Glory ni talented .
 
kwa sasa yupo wapi
 
I liked Show Time ya R.F.A nilikuwa siikosi mchana.

Pia nilipenda sana kile kipindi cha jioni cha Kiss FM by Dj D7... hip hop session. (sikumbuki jina la kile kipindi). D7 was illest!!!

-Kaveli-
 
Mkuu umenikumbusha nilikuwa napenda kumsikiliza kwenye kipindi cha saa 8 cha show time yeye na kid boy na dj john hiyo ndo ilikuwa show no 1 tz achana na Cjui XXL ya jana tu ,yaani anasauti nzr sana sijaona bongo cjui yuko wapi na huyo kid boy wamepotea

9c7d79d7849b77c09b77725dcb6c2598.jpg
Unanikumbusha MWANZA enzi izo
 
TATIZO DIALO ni mzurumaji watu bora wanamkimbia
 
Hakuna anaemfikia kwa sauti yule dada

Siku hizi wamemleta jamaa mmoja anasema magazeti ya motomoto mara kunako habari kibagaubaga mara sijui kilikwenda kikafanya vile na hivi sijui wamemuokota wapi yule mtu wa hovyo kabisa haelewekei haeleweki
 
Kuna siku alisema"yanga yakamilisha usajili wa tuisila kisinda kutoka tonombe"

Hahahahaaa anajielewa mwenyewe, ipo haya tumfungulie uzi hapa ajadiliwe hawezi akakidhalilisha kiswahili kwa kiasi hicho, siku moja badala ya kusema midwives (mid·waivz) akasema mid waves (mid wevz) sijui amewekwa kuharibu kipindi au ndiyo utangazaji wa bei nafuu
 
Siku hizi wamemleta jamaa mmoja anasema magazeti ya motomoto mara kunako habari kibagaubaga mara sijui kilikwenda kikafanya vile na hivi sijui wamemuokota wapi yule mtu wa hovyo kabisa haelewekei haeleweki
Ahha mim sisikilizi tena hiyo radio
 
Back
Top Bottom